Mkuu,
Niombe radhi. I swear to God kunifanisha na Ben is the worst offense I have experienced here in JF.
By the way, kunifananisha na Ben haunioffend mimi tu bali thousands of people I inspire everyday.
Hapa mkuu umevuka mipaka. Mimi ni mvumilivu sana wa kashfa na kejeli lakini this is TOO MUCH.
Nadhani tatizo ushiriki wetu JF mnautafsiri ndivyosivyo. Pitia historia ushauri aliotoa chief Kunambi kwa gavana mwingereza kuhusu circular number six utaelewa why I am here.
TIMING mimi nimekuwa nakuheshimu sana pamoja na kejeli zako za hapa na pale, ila ukiendelea hivi nitalazimika kukuweka kwenye kundi la Yericko Nyerere. I am touched kwa sababu sikutegemea kama unaweza kufikia hatua ya kuniweka kiwango cha Ben. Sitashangaa siku ukisema unaamini mimi nalipwa buku saba ili niingie jf kujibu posts!!! Waache wapuuzi waseme hivyo sio wewe.
Nitake radhi tafadhali.
mdogo wangu, hata ukiniweka kundi la yericko nyerere kama niko hivyo ni sawa, na kama siko hivyo pia ni sawa maana facts will there to judge. Hata yericko anaispire a lot of people in Kigamboni, that is no excuse
Kusema ukweli kabisa, siombi radhi, wala usihangaike, because you cant judge yourself, mimi ndivyo nikuonavyo... na hii imetokana na wee kujitoa fahamu na kushuka hadi kufikia level ya akina malaria sugu, nk.... TO BE HONEST, YOU ARE THI BIGGEST DISAPPOINTMENT KWANGU... TUNAFAHAMIANA!! SIKUTAKA KUWEKA HILI BUT KILA SIKU UNAZIDI KU-DETERIORATE, AND I AM SADDENED
kuhusu kulipwa buku saba, la hasha, you are paid in kind....
My brother, take a deep look into the mirror and ask yourself, is this you? the same you?? kama wa 10-15 years ago?? what has happened??
Haya bwana, take it to the chin with a pint of salt
I am hurting seeing you puking all those stuffs na hali inazidi kuwa mbaya kila uchao
Nyie vijana wa bavicha mnaopenda kuwafanya moderators ni vijakazi wenu. Ni nani asiekufahamu wewe kuwa unatumika? UNADHANI HAWA MODS NI WAJINGA KAMA ULIVYO?
Adhabu ya kusimamisha kugombea mwaka mmoja ndio ina impact gani kama sio danganya toto?
Amesimamishwa kugombea uongozi kwa mwaka mmoja lakini katika mwaka huo aliosimamishwa hakuna uchaguzi wowote ndani ya chama!!!
Chadema ni chama kinachoendeshwa katika misingi ya kilaghai.
"Mida Eight anatumiwa na Dr. Slaa kugombanisha viongozi" - waraka
Yericko anainspire wakazi wa Kigamboni!
Hahahahaha mkuu kumbe uko kwenye utani.
Haya bwana, I give you credit of a doubt but you need to observe one thing that every charm has its pot. I believe you know what I mean...
Kaka,
Hivi Ludovick ndio mmeshamchinjia baharini?
Chadema ni chama kinachoendeshwa katika misingi ya kilaghai.
Miezi kadhaa iliyopita jumuiya ya vijana ya Chadema, Bavicha, ilitangaza kumvua uongozi na kumfukuza uanachama aliyekuwa makamu mwenyekiti wa jumuiya hiyo Bi. Juliana Shonza. Kosa lake lilitangazwa kuwa ni "usaliti".
Aliyefichua "usaliti" huo ni Ben Saanane a.k.a Mida Eight ambaye alielezwa kuwa alipewa kazi maalum ya kuspy vijana wenzake.
Katika katiba na kanuni za chama HAKUNA kazi hii ya uspy aliyopewa Ben Saanane.
Vijana wengi wa bavicha hasa hapa JF walimpongeza Ben Saanane na kumuona shujaa. Mpaka leo uspy huo alioufanya Ben Saanane ndio jambo pekee linalomfanya aonekane insider wa Chadema.
Mkakati wa siri wa kumpa Ben Saanane kazi ya kuspy ndani ya chama haukuhusisha vikao halali vya chama. Ndio maana viongozi wakuu wa Chama na wajumbe wa Kamati Kuu hawakuwa na taarifa yoyote juu ya kazi hii ya Ben Saanane. Hii ilikuwa ni kazi binafsi ya Dr. Slaa. Ben Saanane alikiri kwenye kikao halali cha Bavicha kuwa alifanya kazi ya uspy na kikao hicho kikampongeza kwa kazi nzuri!
Ni UNAFIKI wa hali ya juu kuona vijana waliounga mkono uwepo wa mikakati ya siri ya Dr. Slaa kumtumia Ben Saanane wakipinga mwanazuoni Dr. Kitila Mkumbo kuwa na mikakati ya siri.
Je, kuna mtu mwenye hati miliki ya mikakati ya siri ndani ya Chadema?
Jumuiya ya vijana katika chama chochote ndio nguzo na dira ya chama. Unafiki huu unaotawala Bavicha unadhihirisha kuwa Chadema sasa haina dira na nguzo yake imeliwa na mchwa.
Yericko anainspire wakazi wa Kigamboni!
Hahahahaha mkuu kumbe uko kwenye utani.
Haya bwana, I give you credit of a doubt but you need to observe one thing that every charm has its pot. I believe you know what I mean...
nakuunga mkono kabisa matapeli Kama ccm kupita kinana nchi itaangamiaIt's so sad siasa za Tanzania zimefikia kiwango cha wanafiki na matapeli kuwa ndiyo kioo katika jamii kisiasa.
Wanasiasa wenye maono na uchungu wa maisha katika kijamii wanazidi kuwa wachache huku waliobakia wakiwindwa ili wapotezwe kisiasa kwa sababu wanaziba pumzi na nafasi za wanafiki na matapeli wa kisiasa.
Wananchi wamelishwa na wanaendelea kulishwa sumu ya kisiasa na kufunikwa macho kiasi kwamba kura yao wanaiuza kwa wanasiasa wanafiki na matapeli.
This is political anarchy.
Siasa za Tanzania zimepata wenyewe!.
It's so sad siasa za Tanzania zimefikia kiwango cha wanafiki na matapeli kuwa ndiyo kioo katika jamii kisiasa.
Wanasiasa wenye maono na uchungu wa maisha katika kijamii wanazidi kuwa wachache huku waliobakia wakiwindwa ili wapotezwe kisiasa kwa sababu wanaziba pumzi na nafasi za wanafiki na matapeli wa kisiasa.
Wananchi wamelishwa na wanaendelea kulishwa sumu ya kisiasa na kufunikwa macho kiasi kwamba kura yao wanaiuza kwa wanasiasa wanafiki na matapeli.
This is political anarchy.
Siasa za Tanzania zimepata wenyewe!.
ulitaka apewe adhabu ya kumtafuna **** yako?
mdogo wangu, hata ukiniweka kundi la yericko nyerere kama niko hivyo ni sawa, na kama siko hivyo pia ni sawa maana facts will there to judge. Hata yericko anaispire a lot of people in Kigamboni, that is no excuse
Kusema ukweli kabisa, siombi radhi, wala usihangaike, because you cant judge yourself, mimi ndivyo nikuonavyo... na hii imetokana na wee kujitoa fahamu na kushuka hadi kufikia level ya akina malaria sugu, nk.... TO BE HONEST, YOU ARE THI BIGGEST DISAPPOINTMENT KWANGU... TUNAFAHAMIANA!! SIKUTAKA KUWEKA HILI BUT KILA SIKU UNAZIDI KU-DETERIORATE, AND I AM SADDENED
kuhusu kulipwa buku saba, la hasha, you are paid in kind....
My brother, take a deep look into the mirror and ask yourself, is this you? the same you?? kama wa 10-15 years ago?? what has happened??
Haya bwana, take it to the chin with a pint of salt
I am hurting seeing you puking all those stuffs na hali inazidi kuwa mbaya kila uchao
WanaJF,
Nimetoa majibu yangu katika Thread aliyoanzisha mtu anayejiita Zemarcopolo.Pamoja na kuwaomba Moderators wapandishe majibu yangu katika thread ile,sijaona response yoyote nami nimeamua kuchukua hatua maana Moderators niliwaandikia Inbox kabisa lakini hadi page ya 7 hakuna response.Zemarcopolo ameandika:
XXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXX
MAJIBU YANGU
XXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXX
ZeMarcopolo na WanaJF,
Mosi,Hakuna mahali popote iwe kwenye vikao au mahali pengine nilipowahi kutamka haya yaliyoandikwa hapa.Labda mleta mada alete ushahidi hapa.JF ikiwa mleta mada hataleta ushahidi wa haya ikiwa ni pamoja na minutes za vikao achukuliwe hatua kwa kusema uongo.Nampa masaa 3 .
Pili,Tamko langu kuhusu PM-7 lipo huku.
Tatu,Kama nilipongezwa kwa kiwango anachodai mleta mada hapa sasa iweje nipewe adhabu ya kusimamishwa kugombea nafasi yoyote kwa muda wa mwaka 1 sambamba na onyo kali
Nashukuru Mungu uchaguzi haukufanyika mwaka huu kama ilivyopangwa maana ningekosa haki ya kuchaguliwa.Mipango ya Mungu si kama mipango yetu wanadamu
Nne,Naomba niweke hili very clear.Sijawahi kuwa au kutumiwa na Dr.Slaa au kiongozi yeyote wa CHADEMA kwa maslahi binafsi.
Hizi ni hoja mufilisi na visingizio vya washirika wangu wa Zamani katika mkakati haramu waliokasirishwa na kitendo changu cha kusimamia maslahi ya chama na kuwaanika hadharani baada ya mimi binafsi kufanya kazi kubwa ya kuwasihi waache mpango huo maana wangekivuruga chama
Kwa muda wa takribani siku 345 hadi leo hii wamekua wakinishambulia na kunitukana lakini mwisho wa siku walikiri kupanga njama chafu.Ukweli siku zote husimama juu ya unafiki,usaliti na njama ovu za kuuficha ukweli.Kilichotokea Alhamisi iliyopita ni Matokeo ya jitihada za ukweli uliofanikiwa kulipa kisasi baada ya kupuuzwa kwa muda mrefu
Tano,WANACHADEMA,Wapendamabadiliko na watanzania kwa ujumla nawaahidi kuendeleza mapambano na wale wote wanaozuia harakati za mabadiliko ndani na nje ya chama chetu
Nitaendelea kusimamia misingi ya chama chetu na taifa bila kuchoka hadi tone langu la mwisho la damu.Namuomba mwenyezi Mungu anipe nguvu na ujasiri katika mapambano haya.Tuwapuuze wale wote wanaojaribu kututoa katika mstari wa mapambano.
Katika harakati hizi za mabadiliko na malengo ya CHADEMA kitaasisi katika kuongoza vuguvugu hili Doctrine yangu ni 'It's either you are with us or against us'.Hakuna middleground hata kama dunia ni three dimension.Kipimo nitakachompimia msaliti yeyote wa mabadiliko haya ndani ya chama hakitakua na tofauti na kile nitakachotumia dhidi ya wapinzani na maadui wa mabadiliko nje ya chama.
CC: Invisible, Fang, Buchanan, Paw, PainKiller Moderator

Dr Slaa amesema suala la zitto na CDM limefugwa sasa tuongelee suala la rasilimali zetu kama gesi, Umeme kupanda, hali mbaya ya maisha na wizi wa mali , wabakaji kama yle mbunge wa huko Tabora. kwahiyo tusubiri siku 14 tusikilizie maamuzi magumu ya CC