Unafiki unaliangamiza Taifa

Unafiki unaliangamiza Taifa

Yaani huwa nawaangalia shein na jecha siwamalizi. Hawana aibu kabisa kwa kitendo chao, na hawajali kabisa kitendo chao kama kinaweza kuleta machafuko na mauaji zanzibar
Wakubwa wawili wanafundisha kizazi kipya kwa vitendo elimu urai mwema. Pongezi kwa Jecha na Shein.
 
Kuna mtu mmoja nilimpenda sana kwa kutoonyesha unafiki, huyu alikuwa na rafiki yake kipenzi ambaye wamesaidiana sana tangu enzi hizo. Lakini kama alivyotuasa mzee Mengi kuwa 'una maisha baada ya uchaguzi' mwenzake wakati wa kampeini hakuishia kumponda tu kisiasa bali mpaka mambo ya ndani na afya binafsi.
Juzi juzi nikasikia umetokea msiba na watu wengi walienda lakini huyu hakupenda kuonyesha unafiki kwa kujifanya anaenda wakati moyoni 'amekwazika'. Sikumbuki kumuona akihudhuria.
 
Manyumbu ukigeugeu umekuwa tabia yenu. Si mlikuwa mnatoa mapovu kuwa Chotara hajatembelewa na viongozi wa Serikali?
 
Back
Top Bottom