Unamsema Shemeji yake na Maalim Seif?Kuna mtu mmoja nilimpenda sana kwa kutoonyesha unafiki, huyu alikuwa na rafiki yake kipenzi ambaye wamesaidiana sana tangu enzi hizo. Lakini kama alivyotuasa mzee Mengi kuwa 'una maisha baada ya uchaguzi' mwenzake wakati wa kampeini hakuishia kumponda tu kisiasa bali mpaka mambo ya ndani na afya binafsi.
Juzi juzi nikasikia umetokea msiba na watu wengi walienda lakini huyu hakupenda kuonyesha unafiki kwa kujifanya anaenda wakati moyoni 'amekwazika'. Sikumbuki kumuona akihudhuria.
Hahaaaa, hatari sana.Jamaa akiambiwa nyumbu ndio anapiga beni.
Wewe unaongelea ukiwa na pampas?Manyumbu ukigeugeu umekuwa tabia yenu. Si mlikuwa mnatoa mapovu kuwa Chotara hajatembelewa na viongozi wa Serikali?
Mkuu ni kweli Seif alichapisha karatasi feki za kura South Afrika, Mbona Pemba linasemwa kila kona.Hizo kura hewa zikowapi? Mkuki kwa nguruwe ni sawa kwa binadamu?
kisa na sehemu tofauti mkuu, lengo ni kuonyesha unafiki wetu huu.Unamsema Shemeji yake na Maalim Seif?
Kwani uongo, haukuanzishwa uzi humu ukilaumu viongozi wa serikali kutokwenda kumtembelea Chotara?Wewe unaongelea ukiwa na pampas?
Kwani uongo, haukuanzishwa uzi humu ukilaumu viongozi wa serikali kutokwenda kumtembelea Chotara?Wewe unaongelea ukiwa na pampas?
Wacha kuleta wongo hukuKwani uongo, haukuanzishwa uzi humu ukilaumu viongozi wa serikali kutokwenda kumtembelea Chotara?
wewe ndio mnafiki kuliko wanafiki unaowaongelea maana unaficha kilicho moyoni kwako. Just because you have some difference politically does not mean that you keep your distance even when your competitor has some misfortune in life. I am very sure if none of those leaders visited Maalim, your propaganda mills would have gone wild with all sorts of accusations. Since these guys are wise enough to tell the difference, could you please just shut up.Well,ni jambo jema mwenzako akiwa mgonjwa utamjulia hali na kumfariji. Huo ni ubinadamu
Lakini Ubinadamu huo kama ni wa dhati basi unapaswa uuonyeshe kila mara hata kama maslahi yako yapo hatarini
Yaani waliosimamia mradi wa kushambulia Demokrasia kule Zanzibar wanamtembelea Maalim Seif kumpa pole kwa kuugua
Lakini watu hao hao ambao hata jumuiya ya kimataifa imetoa msimamo na kuwaamuru wampe ushindi wake mgombea halali aliyeshindwa wamegoma na kuhatarisha Amani ya Raia zaidi ya Milioni kule Zanzibar kwa kudhulumu haki ya kidemokrasia
Maalim Seif amesema aliugua ghafla kutokana na fatigue(Uchovu) ambayo imesababishwa na safari nyingi bila kupumzika
Mambo anayokimbizana nayo hadi kupata masaibu haya inawezekana kabisa yametokana na Ubakaji wa Demokrasia uliofanyika Visiwani
Leo baadhi ya watu wanaleta unafiki kuwa wameenda kumjulia hali.
Kuna msemo "Wachawi ndio vinara wa kulia misibani"
Aluta Continua,Victory Ascerta.......
Ben Saanane
Ongea tu kiswahili maana unazidi kujiaibishawewe ndio mnafiki kuliko wanafiki unaowaongelea maana unaficha kilicho moyoni kwako. Just because you have some difference politically does not mean that you keep your distance even when your competitor has some misfortune in life. I am very sure if none of those leaders visited Maalim, your propaganda mills would have gone wild with all sorts of accusations. Since these guys are wise enough to tell the difference, could you please just shut up.
Hivi hapa watu wanaongea au wanaandika? Good for nothing.Ongea tu kiswahili maana unazidi kujiaibisha
Kuna mtu mmoja nilimpenda sana kwa kutoonyesha unafiki, huyu alikuwa na rafiki yake kipenzi ambaye wamesaidiana sana tangu enzi hizo. Lakini kama alivyotuasa mzee Mengi kuwa 'una maisha baada ya uchaguzi' mwenzake wakati wa kampeini hakuishia kumponda tu kisiasa bali mpaka mambo ya ndani na afya binafsi.
Juzi juzi nikasikia umetokea msiba na watu wengi walienda lakini huyu hakupenda kuonyesha unafiki kwa kujifanya anaenda wakati moyoni 'amekwazika'. Sikumbuki kumuona akihudhuria.
Wewe umeandika au umetoa Kinyesi?Hivi hapa watu wanaongea au wanaandika? Good for nothing.
You see, true to kind. Kupayuka na kutukana pasipo sababu. Kama wewe ndio aina ya watu wanaotegemewa na chama chako, basi mtaendelea kulalamika tu bila kujua tatizo linaanzia kwenu kwa kuwa mna akili isiyo na akili.Wewe umeandika au umetoa Kinyesi?
Maana nyie mnatupamba? Shirikisha ubongoYou see, true to kind. Kupayuka na kutukana pasipo sababu. Kama wewe ndio aina ya watu wanaotegemewa na chama chako, basi mtaendelea kulalamika tu bila kujua tatizo linaanzia kwenu kwa kuwa mna akili isiyo na akili.
Jiulize, katika maandishi yako unashirikisha ubongo wako kwa kiasi gani? Bila kufanya hivyo, manyumbu watendelea kuliwa na mamba tu.Maana nyie mnatupamba? Shirikisha ubongo
Naona wewe ndio kichwa maji kweli kweli hapo kwenye viwanja vya fisi Lumumba maana unaongea usichokijuaJiulize, katika maandishi yako unashirikisha ubongo wako kwa kiasi gani? Bila kufanya hivyo, manyumbu watendelea kuliwa na mamba tu.