Mwanahabari Huru
JF-Expert Member
- Mar 9, 2015
- 14,242
- 34,917
Chama cha Maigizo kila mtu ni karata tatu tuUnafiki wa Sefu unakaribia ukingoni yaani atakavyowageuka mtashangaa
Chama cha Maigizo kila mtu ni karata tatu tuUnafiki wa Sefu unakaribia ukingoni yaani atakavyowageuka mtashangaa
Kama umeishiwa points kaa kimya. Asiyefundishika anitwa IDIOT.Naona wewe ndio kichwa maji kweli kweli hapo kwenye viwanja vya fisi Lumumba maana unaongea usichokijua
Wanaofundishika wanaitwa fisi?Kama umeishiwa points kaa kimya. Asiyefundishika anitwa IDIOT.
Naona uko chini ya kiwango to engage somebody in meaningful debate/discussion. Kwa hiyo, usiku mwema.Wanaofundishika wanaitwa fisi?
Mda wa kujikunja na fisi umefika?Naona uko chini ya kiwango to engage somebody in meaningful debate/discussion. Kwa hiyo, usiku mwema.
Huwezi hata siku moja kuniprovoke niwe kama wewe. Never.Mda wa kujikunja na fisi umefika?
Wala sitaki tufanane maan fisi n binadamu wapi wa wapiHuwezi hata siku moja kuniprovoke niwe kama wewe. Never.
Tuame ili nini? Nosence commentNlisema baada ya matukio ya Magu na Shein kumtembelea Seif, UKAWA watatamani wahame nchi..
Binadamu wewe? Binadamu huwa wana akili lakini asiyejua left from right ana haki gani kuitwa binadamu? Manyumbu tu.Wala sitaki tufanane maan fisi n binadamu wapi wa wapi
Wewe kwani unajua kitu zaidi ya mozoga? Fisi tuBinadamu wewe? Binadamu huwa wana akili lakini asiyejua left from right ana haki gani kuitwa binadamu? Manyumbu tu.
Najua zaidi yako na ndio maana siku zote wewe na kundi la manyumbu mko nyuma yetu mkilalama tu. Mnashituka mmeshapigwa bila kujua kilichowapiga ni kitu gani. Ukweli mchungu ila endeleeni kuwa manyumbu hivyo hivyo maana ni furaha yetu.Wewe kwani unajua kitu zaidi ya mozoga? Fisi tu
Mlichokofanya 25 dunia inakijuamlichokifanya Zanzibar duniainakijua mnayoyafanya kwenye Umeya Dar Dunia inajua... Mwisho wa Ukurunzinza ni mbaya sanaNajua zaidi yako na ndio maana siku zote wewe na kundi la manyumbu mko nyuma yetu mkilalama tu. Mnashituka mmeshapigwa bila kujua kilichowapiga ni kitu gani. Ukweli mchungu ila endeleeni kuwa manyumbu hivyo hivyo maana ni furaha yetu.
Endele kufunika kichwa kwenye mchanga na ukisubiria huo mwisho.Mlichokofanya 25 dunia inakijuamlichokifanya Zanzibar duniainakijua mnayoyafanya kwenye Umeya Dar Dunia inajua... Mwisho wa Ukurunzinza ni mbaya sana
Na JPM alivyo jipanga,baada ya miaka michache tutaanza kuwakopesha na sisi helaEndelea kuongozwa na rimoti ya umoja wa mataifa. Kuna wakati inabidi ujiendeshe mwenyewe,Tanzania sio tv ya umoja wa mataifa kiasi kwamba wao wakisema muda huu tunaweka TBC1,ITV,CLOUDS,N.K. Hatutafika ni lazima tuwe huru kisiasa palipo na mashaka lazima parekebishwe.
kwani zanzibar ni ya kwake peke yake huyo maalim sefu?zaid ya kuiingiza serikali sioni la baana,tangu lini mtu atoke hospitali mapumziko akafanyie hoteli ya nyota tano wakati ana kwake?Well,ni jambo jema mwenzako akiwa mgonjwa utamjulia hali na kumfariji. Huo ni ubinadamu
Lakini Ubinadamu huo kama ni wa dhati basi unapaswa uuonyeshe kila mara hata kama maslahi yako yapo hatarini
Yaani waliosimamia mradi wa kushambulia Demokrasia kule Zanzibar wanamtembelea Maalim Seif kumpa pole kwa kuugua
Lakini watu hao hao ambao hata jumuiya ya kimataifa imetoa msimamo na kuwaamuru wampe ushindi wake mgombea halali aliyeshindwa wamegoma na kuhatarisha Amani ya Raia zaidi ya Milioni kule Zanzibar kwa kudhulumu haki ya kidemokrasia
Maalim Seif amesema aliugua ghafla kutokana na fatigue(Uchovu) ambayo imesababishwa na safari nyingi bila kupumzika
Mambo anayokimbizana nayo hadi kupata masaibu haya inawezekana kabisa yametokana na Ubakaji wa Demokrasia uliofanyika Visiwani
Leo baadhi ya watu wanaleta unafiki kuwa wameenda kumjulia hali.
Kuna msemo "Wachawi ndio vinara wa kulia misibani"
Aluta Continua,Victory Ascerta.......
Ben Saanane