Unafanyeje kurejesha mapenzi katika ndoa yako?

Kama unajeuri ya kumuacha muache ila ninavokuoana jeuri hiyo huna ww wala ndo maana ukakimbilia uku jukwaani.mwisho wa siku utajikuta umeenda toa mbususu kwa mwingine iliwe na kuachwa hapo ukidhani unajifariji
 
Habari wana jf! Mwenzenu moyo wangu umekufa ganzi kabisa kwasasa, nifanyeje kurejesha hisia kwa wangu wa maisha?? Mume wangu alinicheat nikamsamehe amecheat tena nasasa moyo wangu umechukia kiasi cha kutokuwa na hisia nae tenaa!!
Polee katika mahusiano yenu hukuwahi kumcheat? Au hata kuna na vudalili vya kucheat amabavo pengine aliweka kinyongo.

Vipi kuhusu huduma ya kindoa hukuwahi mkatalia pengine sababu ya uchovu then mwenzio akachukia ?.
 
Acha ujuaji wewe, ukifumaniwa wewe uliefumaniwa ndio hisia zinaisha kwa mwenzio eboo! My man cheated on me hii mara ya pili nimekuta evidensi kabisa.
Once a cheater,always a cheater.Mna mahusiano ya muda gani?mna watoto?je bado unampenda?kuwa makini asije kukuletea maradhi tu!
 
Juzi niliandika uzi ...."Usiombe mwanamke akuchukulie Poa ""..mods waliufuta kisa lugha nlotumia.

WAKATI ALONAO MTOA MADA, AKIKUTANA NA KIJANA MJANJA MJANJA, WATAKULANA KIMASIHARA.

na Mbaya zaidi, hatojali kama kuna kondom wala nn

Matokeo yake analiwa, anapewa ngoma, anakuletea Ndani, unapiga ,nawee unaunganishwa kwa Gridi.

ACHENI KUCHEPUKA KWA UJINGA KIASI KWAMBA, MKEO AKUJUE KWAMBA UNACHEPUKA.

USIOMBE MWANAMKE AKUCHUKULIE POA.

USHAURI WANGU KWAKO WEWE BIDADA ......( Ushauri kama huna mpango wa kumsaliti)

embu wekeza kwa sasa kwako wewe, na kwa wanao

USIJARIBU Kujilazimisha kurudisha hisia zako kwake

KUA MAKINI KWA VIJANA WATAKAOKUPA USHAURI HUMU +HUKO NJE..

ushauri uishie kwenye ushauri,

MUOMBE MUNGU.

USHAURI KAMA NAWEWE UNA MPANGO WA KULIPA KISASI

Wewe ni mwanamke, bila shaka ni mrembo wa Sura na Umbo ,mwanamke ambaye kila ukipita basi Jicho la mwanaume akutazamaye atahitaji kua nawewe kwa sababu hawez kumudu kua mbali nawewe.

Unajua kwenye Jamii zetu hizi, suala la Mwanaume kua na wanawake wengi linaonekana ndo Udume na pongezi, lkn mwanamke anapoumizwa ndoani, nakuamua kutafuta mtu wakumpa Faraja, basi huyo mwanamke hulaumiwaa sana, nakuonekana Hafai.

Mimi Carlos The Jackal siwez kukujaji kwa sababu niwewe unayejua maumivu makali unayopitia na ukweli nikwamba, Una Haki kabisaa ya kutafuta mtu ambaye ataupa Moyo wako Furaha.
 
Kwasasa sina hamu wala hisia kwa mwenza wangu tatizo ni ananivuruga na kunichanganya sana. Ananicheat mpaka najua sasa moyo umepondeka sana
Pole sana dada ake angalia sana usije ukaipoteza ndoa yako kwa mikono yako mwenyewe :mwanaume kama mtoto anaitaji abembelezwe ,asikilizwe na pia wewe jaribu kuwa mbunifu kwa mwenza wako bila kujari kitugani kitatokea mbadilishie mmeo ratiba ya kuhondomola akitoka kazini mpe ,anaenda kazini mpe akipumzika chumbani akisema najisikia vibaya mpe tu usipende kushika simu yake mbembeleze tu zaidi ya mwanako atajiuliza ma MBILI mwisho wa siku atakua wako peke yako mfano mkubwa dada zetu wa kiiislamu wanatambua sana majukumu yao ya ndoa KULIKO dada zetu wakristo sipo kwenye udini najalibu kuweka usawa fanya hayo utanikumbuka
 
Haya mambo kupata ushauri mzuri itakuwa ngumu mfano Mimi nimetoka familia ambayo mzee ana wake 4 na Babu alikuwa na 11 hivyo nitakalokushauri ni atafute mwingine ambae anatambulika na zaidi ajikinge na magonjwa..!
Kama huduma ya kimwili, kiuchumia na kifamilia anatoa vizuri wewe musome kwanza anapenda nini na kwanini anafanya hivyo, usiwe na hasira. Jitahidi kuficha hasira zako ili utafiti wako juu yake ufanikiwe na ujue namna kukabiliana na hilo unaloliona ni tatizo kwako.
Sikushauri kuachana nae maana wanaume walio wengi wanafanana na tunachofanya ni kujitahidi ili mke wako asijue unayoyafanya. Ukikamilisha utafiti nafikiri utaelewa mapungufu yapo upande gani ili uyatatue kwa kutumia busara na hekima, ongea nae kwa busara, kuwa mnyenyekevu hata kama amekosea mwisho wa siku atajishutukia na kuacha kabisa.
Pia jaribu kutoka out nae, ambatana nae hata kwenye shopping ya kawaida, jaribu kula pamoja nae, jitahidi kumpigia simu awepo kazini kumjulia hali, mshauri pale anapokwama na kama una uwezo muongezee..!
Mengine utaongeza, Mimi nimeongelea zaidi ninayopenda kufanyiwa na mwili wangu hufurahi kweli kweli
 
Nafikiri jipe muda tu uone hali itakuwaje. Itategemeana na jinsi huyo mwenzako anavyo- au atakavyo-jibehave. Kama ataonyesha kujutia kitendo hicho cha kukucheat basi msamehe tu. Ieleweke wanaume sisi hata pale tunapocheat si kwamba hatuwapendi wake zetu. Huwa mara nyingi ni utoto tukikua huwa tunaacha!
We jamaa agiza koka alokataa c7 nakuja kulipa asee
Ni utoto tukikua tunaacha
 
Juzi niliandika uzi ...."Usiombe mwanamke akuchukulie Poa ""..mods waliufuta kisa lugha nlotumia.

WAKATI ALONAO MTOA MADA, AKIKUTANA NA KIJANA MJANJA MJANJA, WATAKULANA KIMASIHARA.

na Mbaya zaidi, hatojali kama kuna kondom wala nn

Matokeo yake analiwa, anapewa ngoma, anakuletea Ndani, unapiga ,nawee unaunganishwa kwa Gridi.

ACHENI KUCHEPUKA KWA UJINGA KIASI KWAMBA, MKEO AKUJUE KWAMBA UNACHEPUKA.

USIOMBE MWANAMKE AKUCHUKULIE POA.

USHAURI WANGU KWAKO WEWE BIDADA ......( Ushauri kama huna mpango wa kumsaliti)

embu wekeza kwa sasa kwako wewe, na kwa wanao

USIJARIBU Kujilazimisha kurudisha hisia zako kwake

KUA MAKINI KWA VIJANA WATAKAOKUPA USHAURI HUMU +HUKO NJE..

ushauri uishie kwenye ushauri,

MUOMBE MUNGU.

USHAURI KAMA NAWEWE UNA MPANGO WA KULIPA KISASI

Wewe ni mwanamke, bila shaka ni mrembo wa Sura na Umbo ,mwanamke ambaye kila ukipita basi Jicho la mwanaume akutazamaye atahitaji kua nawewe kwa sababu hawez kumudu kua mbali nawewe.

Unajua kwenye Jamii zetu hizi, suala la Mwanaume kua na wanawake wengi linaonekana ndo Udume na pongezi, lkn mwanamke anapoumizwa ndoani, nakuamua kutafuta mtu wakumpa Faraja, basi huyo mwanamke hulaumiwaa sana, nakuonekana Hafai.

Mimi Carlos The Jackal siwez kukujaji kwa sababu niwewe unayejua maumivu makali unayopitia na ukweli nikwamba, Una Haki kabisaa ya kutafuta mtu ambaye ataupa Moyo wako Furaha.
Awe makini tu vijana wa uzi pendwa na trick zako watapita na huku
 
Ni new Bibi harusi in town?

Jipe muda tu yatajirejesha yenyewe, atakucheat tena kama ni muungwana ataomba samahani japo sio rahisi kwa mwanaume, msamehe maisha yaendelee atakucheat tena na tena na tena...

Option ni mbili hapo, ya kwanza kuishi na hilo (kwamba ni cheater), ya pili ni kumuacha.

Ukichagua ya kwanza ni sawa, jiongezee na mambo yatakayokuwa yanakupa raha na furaha, ukichagua ya pili ni sawa pia ila jua cheating is like rainfall it rains everywhere, ukimuacha huyo unaweza jikuta mikononi mwa shababi anaeweza kukucheat hata kwa mbuzi.

Pole, (ujumbe mwingine ntakupa pm😁)
 
Nafikiri jipe muda tu uone hali itakuwaje. Itategemeana na jinsi huyo mwenzako anavyo- au atakavyo-jibehave. Kama ataonyesha kujutia kitendo hicho cha kukucheat basi msamehe tu. Ieleweke wanaume sisi hata pale tunapocheat si kwamba hatuwapendi wake zetu. Huwa mara nyingi ni utoto tukikua huwa tunaacha!
Mbona wake zenu wakiwacheat wakiomba msamaha na kusema ni utoto tuu au shetani aliwapitia kuwasamehe inakuwa ngumu..!?eti,
 
Habari wana jf! Mwenzenu moyo wangu umekufa ganzi kabisa kwasasa, nifanyeje kurejesha hisia kwa wangu wa maisha?? Mume wangu alinicheat nikamsamehe amecheat tena nasasa moyo wangu umechukia kiasi cha kutokuwa na hisia nae tenaa!!
Ndoa yenu ina umri gani?+ evidence gani ulizikuta...... "Kumbuka ukimchunguza sana bata hutoweza mla"
 
Habari wana jf! Mwenzenu moyo wangu umekufa ganzi kabisa kwasasa, nifanyeje kurejesha hisia kwa wangu wa maisha?? Mume wangu alinicheat nikamsamehe amecheat tena nasasa moyo wangu umechukia kiasi cha kutokuwa na hisia nae tenaa!!

Inakuwaje mpaka anakucheat? Hakikisha anachuja kwa sana ili asibabaike huko nje ,sasa ukiwa unaishi nae unasubiri mpaka yeye aombe ndio matokeo yake hayo,
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom