Unafanya nini ukim-miss umpendae

hua navuta hisia kama niko naye kisha nampigia sim, namwambia aniambie neno tamu kisha mambo yanakuwa fresh
 
We Unafikiri kunakumissiana kweli? Kwanza nani kakwambia upo peke yako? Ukiwa haupo anaziba nafasi mtu mwingne,mbna inajulikana jamani au wadau ukweli ni upi?
 
Back
Top Bottom