kiukweli ni majukumu, ndo maana baadhi ya huduma hupunguzwa, imagine unakuwa wa kwanza kuamka kuhakikisha watoto na mume wamekunywa chai, wana nguo sahihi za kuvaa, wanaobaki watakuka nini asbh, mchana, jioni mtakula nini, bado hujaangalia kuku, hujakusanya biashara, then uende kazini, jioni upitie biashara, urudi nyumbani upike, umuandalie mume na watoto msosi, usimamie mambo ya hapa na pale, umpe hubby haki yake, bado umnyoe.... Loh......
Acha nikaicheki hiyo thread....
Mi simoshostito hivi hujamgundua? Erickb52 akitutaja mm na ww lazma aweke na jina la
wife wake ili kupotezea. ww toka tulimpa mavituz jamaa anashindwa kusahau hadi
leo kazi kututaja taja. atajibeba am telling u, na sie tusimpe tena mamito.
BADILI TABIA hivi unamsoma Erickb52? huyu naona anatafuta moto tu hana lolote.
Hehehenamcheki tu anavyojishebedua hapa, anataka tumwashie moto huyu..... Asitukimbie tu
just home najiandaa, nataka kwenda movies!
Hehehe
washeni faster nawangoja
Mmh! haya small boy sizitaki mbichi hizi sungura akagumia
Hata uwe moto wa kifuu poa tu...
Nibora niungue na huo moto wenu na BADILI TABIA ila sio wa Amyner
Yan mi pale ndio nimetua makoro...yangu sitaki kokoro
Bado uko mikadi? nimekodi bodaboda toka bguruni! naja na ujio wangu sio wa verse moja
Hehehee acha utani basi aiseehahaaaaa ungekua umetua ungahangaika na sisi? Hunywi maji hulali huli unamuwaza Erotica na BADILI TABIA....
Chezeya siye....
Na hatukupi tena....
Utaisoma namba......
Tena uache kutu-pm mashairi yako kwenye
Hehehee acha utani basi aisee
Nilikuwa nawatania tu