kiukweli ni majukumu, ndo maana baadhi ya huduma hupunguzwa, imagine unakuwa wa kwanza kuamka kuhakikisha watoto na mume wamekunywa chai, wana nguo sahihi za kuvaa, wanaobaki watakuka nini asbh, mchana, jioni mtakula nini, bado hujaangalia kuku, hujakusanya biashara, then uende kazini, jioni upitie biashara, urudi nyumbani upike, umuandalie mume na watoto msosi, usimamie mambo ya hapa na pale, umpe hubby haki yake, bado umnyoe.... Loh......
Acha nikaicheki hiyo thread....
BADILI TABIA hivi unamsoma Erickb52? huyu naona anatafuta moto tu hana lolote.Hahahaaaa YNNAH nisipobadilika siitakula we siunajua kumpata kama yeye Amyner ni ngumu?
Sana ntaishia kwa akina Valu Valu ( BADILI TABIA na Erotica ) the maisha yanakuwa ya stress mwanzo mwisho
Bamia utatafuna! Bt viazi sidhani vinatafunika!
Saiv nipo 20 th century plaza mama ngina street na sip cha baridi muda si mrefu nita watch movie Madagascar 3/Movie imesifiwa sana guess ni kitu safi.
haya wanaCC ndo naupara mwenzenu,hebu nichaguilien leo niibukie wapi!
Angalia sasa !
Namna hapa ulivyofunguka kiutu'uzima!
Uko timamu kuzidi maelezo !
Umenimwagiaje mipweenti !
Semea tu sijui sometyms ChtCht hua inakuzuru! Sijui nikushawishi uhamie Siasa!
BADILI TABIA kumbe ukiolewa ratiba ndo hyo eeh,me nlikuwa cjui. mbna ka ngumu et?
BADILI TABIA hivi unamsoma Erickb52? huyu naona anatafuta moto tu hana lolote.
namcheki tu anavyojishebedua hapa, anataka tumwashie moto huyu..... Asitukimbie tu
Hahahaaaa YNNAH nisipobadilika siitakula we siunajua kumpata kama yeye Amyner ni ngumu?
Sana ntaishia kwa akina Valu Valu ( BADILI TABIA na Erotica ) the maisha yanakuwa ya stress mwanzo mwisho
kuolewa majukumu CL, unajikuta uko busy kama mchwa, ila wanaume wana raha..... Wao shwariiiiii dah
Nipo hapa nahangaika kukorokochoa sehemu iliyonileta duniani..
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Nipo hapa nahangaika kukorokochoa sehemu iliyonileta duniani..
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
duh kama ndo hv ngoja nipunguze kwenda mkesha kuomba ili nimpate naniliu!
Kama kweli vile!
hebu nambie we mwanachit chat unafanya nini saiv? me ndo kwanza naenda zangu mkesha kanisani!!!!! we je?
haya haya, ndani ya mikadi natafta starter. . . unafanya nini wewe?