Mdomo wa Bata
Senior Member
- Nov 20, 2016
- 128
- 155
Hao ndo mbwa Mkuu hawa wengine mbwa wa kienyeji muda mwingine inabidi ujitengezee tukio uwamalize basis ujijue huna mlinzi
Hao ndo mbwa Mkuu hawa wengine mbwa wa kienyeji muda mwingine inabidi ujitengezee tukio uwamalize basis ujijue huna mlinzi
Sawa sawa mkuu shukraniMkuu ihii tabia wewe ndio umeilea mwenyewe mbwa siku zote anafundishwa na ataelewa tuuuuu..... Sasa fanya hivi wakinya usifagie yatawanye mavi ndani YA banda akose pa kulala mfanyie kwa muda wa Wiki moja atakereka akikosa pa kulala, elewa mbwa apendi kulala sehemu chafu.... Baada YA Wiki safisha banda kwa maji Alafu anzisha kichapo unapowafungua ukikuta wamekunya mnusishe pale alipokunya uku unamchapa na kumsemesha asinye Kwenye banda. Endelea kufanya hivi Kila wanyapo Kwenye banda hadi watakapo Acha.... Elewa mbwa ni mnyama anaefundishika kwa urahisi
Wawekee mchanga bandani wanakua wanajisaidia upande mmoja tu. Nina German Shepherd wawili nimefanya ivyo na inaenda vizuri. Mi huwa naenda tu kutoa baada ya siku kadhaaMimi Mbwa wangu ni wakali ila wanajisaidia bandani kwa kweli wananikera sana, maana kila saa nne usiku nawafungulia mpk saa 12 ahsubuhi lakini bado wanajisaidia bandani na ni wakubwa sijui wataalamu mnashauri vp hapo ?
Ooh nashukuru sana hii idea nzuri sanaWawekee mchanga bandani wanakua wanajisaidia upande mmoja tu. Nina German Shepherd wawili nimefanya ivyo na inaenda vizuri. Mi huwa naenda tu kutoa baada ya siku kadhaa
Pitbull na rotterweiler kama unajua unajisahau sahau bora ukae nao mbali... Ni wazuri ila wanahitaji umakini kuwalea...Usiwape bangi aiseee...mnaoshauri bangi hamjui kufuga mbwa..kidogo aliyesema kuwapikia Yale masega ya nyigu Yale sijui yana nini aiseee.pia inategemea na aina ya mbwa kama alivyosema mchangiaji hapo. Mbwa kama G.S ni mafunzo tuu ila hawa pitbull nashauri kama mtu hana uhakika sana na anachofanya asiwajaribu hawa .maana haya ni mabishi, yananguvu kuliko bahati mbaya hayana akili kwa maaana ya si wepesi kushika mafunzo muda wowote wanafanya mauaji heavy
Mwenyewe nimecheka wooowoo wooowooo me toooooHahaaaaaaaaaa aiseee hii imenifanya nicheke mno
hiyo njia ya kuwavutisha ganja ilinishinda ndo maana nikaja na uzi huu kupata njia nyingine .
kumbe wanunuzi wa mimea mpo wengi humu
Mkuu ihii tabia wewe ndio umeilea mwenyewe mbwa siku zote anafundishwa na ataelewa tuuuuu..... Sasa fanya hivi wakinya usifagie yatawanye mavi ndani YA banda akose pa kulala mfanyie kwa muda wa Wiki moja atakereka akikosa pa kulala, elewa mbwa apendi kulala sehemu chafu.... Baada YA Wiki safisha banda kwa maji Alafu anzisha kichapo unapowafungua ukikuta wamekunya mnusishe pale alipokunya uku unamchapa na kumsemesha asinye Kwenye banda. Endelea kufanya hivi Kila wanyapo Kwenye banda hadi watakapo Acha.... Elewa mbwa ni mnyama anaefundishika kwa urahisi
Mkuu ihii tabia wewe ndio umeilea mwenyewe mbwa siku zote anafundishwa na ataelewa tuuuuu..... Sasa fanya hivi wakinya usifagie yatawanye mavi ndani YA banda akose pa kulala mfanyie kwa muda wa Wiki moja atakereka akikosa pa kulala, elewa mbwa apendi kulala sehemu chafu.... Baada YA Wiki safisha banda kwa maji Alafu anzisha kichapo unapowafungua ukikuta wamekunya mnusishe pale alipokunya uku unamchapa na kumsemesha asinye Kwenye banda. Endelea kufanya hivi Kila wanyapo Kwenye banda hadi watakapo Acha.... Elewa mbwa ni mnyama anaefundishika kwa urahisi
Anza kufuga akiwa mdogo akuzoee na wewe umzoee. Yan unakua unaona mabadiliko yake ndio njia rahisi kwakoMkuu samahani naomba nisaidie,mm natamani sana kufuga mbwa km mlinzi lkn tatizo naogopa sanaa mbwaaaa nn nifanye ili kukabiliana hii hali ili mwisho wa siku niweze kufugaa?
Anza kufuga akiwa mdogo akuzoee na wewe umzoee. Yan unakua unaona mabadiliko yake ndio njia rahisi kwako
mbn tejaa atatoa miudenda au vepBangi ni miongoni mwa madawa ya kulevya, hvo tambua unaharibu akili ya dog wako na siku sio nyingi atakuwa teja.
Wakiwa wawili itapendeza zaidi. Unawalisha kawaida tu ila hakikisha usiwape nyama mbishi na usiwabadilishie chombo cha kulia cha msingi tu viwe visafi. Mi nina order na butcher baadhi wananileteaga nyama kwenye kindoo naziweka kwenye mfuko then naweka kwenye fridge nakua nachomoa mfuko mmoja naichemsha nawapikia na ugali wanakula wanapotoka bandani usiku saa 2-4. Na ni mara moja tu kwa siku.Oohhh,sawa so huyu mdogo awe mmoja au wawili??ila itabd niwe na mtu ht wa kunielekeza namna ya kumlisha, mazingira yake nk
Wakiwa wawili itapendeza zaidi. Unawalisha kawaida tu ila hakikisha usiwape nyama mbishi na usiwabadilishie chombo cha kulia cha msingi tu viwe visafi. Mi nina order na butcher baadhi wananileteaga nyama kwenye kindoo naziweka kwenye mfuko then naweka kwenye fridge nakua nachomoa mfuko mmoja naichemsha nawapikia na ugali wanakula wanapotoka bandani usiku saa 2-4. Na ni mara moja tu kwa siku.
Mkuu awa mbwa umewalea kijinga Sana...... Mm mbwa awanyi Kwenye banda na sehemu Yao YA kunya daily ni moja..... Matatizo YA mbwa kunya Kwenye banda wanakuwa wachafu Alafu wakikojolea Yale mavi yanatengeneza bacteria wanaozalisha kupe.... Mm nafuga mbwa kuanzia utoto wangu hadi Sasa Nipo early 30..... Mbwa akiwa na tabia YA kunya bandani namfundisha akiwa na kichwa ngumu namuuza au kugawa.... Mambo YA kuzoa mavi bandani yanakera Sana na ukisafiri wale unaowaachia jukumu awawez kufanya kama wwWawekee mchanga bandani wanakua wanajisaidia upande mmoja tu. Nina German Shepherd wawili nimefanya ivyo na inaenda vizuri. Mi huwa naenda tu kutoa baada ya siku kadhaa