Unafanya nini baada ya kumaliza ku 'DO'?

Unafanya nini baada ya kumaliza ku 'DO'?

normally no.3 and no.8, kushukuru muhimu mana bila mumeo ungepatia wapi hizo raha,mmepeana raha so kushukuru muhimu ikifuatia na kiss paji la uso la kushushia :A S thumbs_up:
 
nachukuwa kilicho changu na kusepa...hamna haja ya kujuana na dada poa
 
Kazi ndio msingi wa maendeleo. Nchi masikini haiwezi kuendelea kwa msingi wa fedha. Nchi masikini haiwezi kujitawala kama inategemea msaada kutoka nchi za nje- j. K. Nyerere

uchumi umepanda, maisha yamepanda, ..................NAMWAMBIA baadaye NGOJA NIKATAFUTE ZINGINE
 
hA HA HA, JF kuna mambo!! uliwazaje hadi kufikia kuuliza swali hili? dah.
Mimi huwa nafanya non of the above i.e. wash myself!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom