Poor Brain
JF-Expert Member
- Jul 5, 2019
- 27,494
- 55,144
Mkuu nataka kujua maana ya program za kidigitali na wewe unafanya kazi ipi kwenye hizo programhebu uliza swali lililo nyooka mkuu inamaana hujui program za kidigital ni zipi
Mkuu nataka kujua maana ya program za kidigitali na wewe unafanya kazi ipi kwenye hizo programhebu uliza swali lililo nyooka mkuu inamaana hujui program za kidigital ni zipi
Kwa masaa matanoHabari wakuu,
Binafasi nafanya kazi masaa yasiyopungua 16 kwa siku, na nime jiajiri mwenyewe kwenye masuala ya mifumo ya kidigital.
Je, wewe mdau unafanya kazi masaa mangapi kwa siku ?
Yaani unafanya mifumo ya kidigitali ipi?Mkuu wangu hiyo yangu 16hrs hakuna kulala ni mimi na mifumo ya kidigital mezani
kuu basi si uniseidie kazi mm hapa dar tafadhaliNakodoa na kutumbua macho JF ndani ya masaa 24, usiniulize kuhusu mshahara, wengine sisi ni mabilionea hatuna njaa ya vikalatasi tunajitolea bure tu bila malipo.
Ila una biasharaSina kazi
Kwahiyo na wewe umemuamini mjusiM
kuu basi si uniseidie kazi mm hapa dar tafadhali
Hehehe, mimi ni raisi wa ma jobless pro maxIla una biashara
Duuuh haya si tupo tu tunaangaliaHehehe, mimi ni raisi wa ma jobless pro max
Nisikilizeni mwanaume wa ukweli hakai ukweniDuuuh haya si tupo tu tunaangalia
Haya maneno tu😀😀😀Nisikilizeni mwanaume wa ukweli hakai ukweni
Nenda mbeya ukalime maharage.M
kuu basi si uniseidie kazi mm hapa dar tafadhali