Kwa wahindiunafanya kazi bank mkuu
Safi kabisa ...7 tu pale Airtel Morocco
Mkuu nafanya kazi kubwa sanaMmmmh mmmmh mmmh
Et umejiajiri mmmmh mmmh
Wewe wewe... Umejiajiri unafanya kazi masaa 16 .mmmmh mmmmh
AaaaahMkuu nafanya kazi kubwa sana
kazi nyingi nyingi tu mkuuAaaaah
Oooohipi hiyo designer wetu
😂😂😂😂🫵🫵🫵🫵🫵🫵🫵kazi nyingi nyingi tu mkuu
Serious mkuu sikai bila kazi😂😂😂😂🫵🫵🫵🫵🫵🫵🫵
Designer kuwa serious bana
Designer usitakekufanya niamini kama kweli una kazi nyinginyingi designer
Weeee weeeeh haya designer nambie sasa nipe.madini hapa.u anafanya nn mkuu 😂😂😂😂Serious mkuu sikai bila kazi
kazi zangu siunazijua mkuu ni program za kidigital wewe unafanya kazi ganiWeeee weeeeh haya designer nambie sasa nipe.madini hapa.u anafanya nn mkuu 😂😂😂😂
14Habari wakuu,
Binafasi nafanya kazi masaa yasiyopungua 16 kwa siku, na nime jiajiri mwenyewe kwenye masuala ya mifumo ya kidigital.
Je, wewe mdau unafanya kazi masaa mangapi kwa siku ?
😂😂😂😂😂😂😂😂🫵🫵🫵🫵🫵🫵🫵kazi zangu siunazijua mkuu ni program za kidigital wewe unafanya kazi gani
hebu uliza swali lililo nyooka mkuu inamaana hujui program za kidigital ni zipi😂😂😂😂😂😂😂😂🫵🫵🫵🫵🫵🫵🫵
Daaah kumbe mkuu,, sasa hapo nielekeze maana ya program za kidogital