New Designer
JF-Expert Member
- Aug 8, 2025
- 478
- 768
Umeajiriwa mkuu ?Tisa
Aisee masaa mengi sana hayoHabari wakuu,
Binafasi nafanya kazi masaa yasiyopungua 16 kwa siku, na nime jiajiri mwenyewe kwenye masuala ya mifumo ya kidigital.
Je, wewe mdau unafanya kazi masaa mangapi kwa siku ?
Umeajiriwa mkuu ?
Hii imenifanya kuwa master zaidi kwenye mifumo ya kidigital, nafanya kazi kwa bidii zoteMkuu unabet masaa 16? Hiyo sio nzuri kwa afya yako.
Mkuu wangu hiyo yangu 16hrs hakuna kulala ni mimi na mifumo ya kidigital mezaniInategemea na shift
Lakini sio chini ya masaa 12 ukijumlisha na muda wa kulala katikati ya shift wakati mwingine
kuna watu wanalala jamiiforumsNakodoa na kutumbua macho JF ndani ya masaa 24, usiniulize kuhusu mshahara, wengine sisi ni mabilionea hatuna njaa ya vikalatasi tunajitolea bure tu bila malipo.
Uchizi wa JamiiForums Nitasonga Nao Hadi Kaburini (UJ-DOUBLE-N-HK) Unakaribishwa sana kujiunga na chama chetu tuenjoi maisha.kuna watu wanalala jamiiforums
unafanya kazi bank mkuu8. Kuanzia saa 2 mpaka saa 7 breki.tunarudi saa 8 mpaka saa 11.jioni