Unafahamu nini kuhusu Andrew Chenge?

Nimeipata fursa ya kufika anapoishi bariadi sitaki kuzungumzia undani wake kisiasa ila Kama unaamini dunian chawi upo Basi muogope Sana huyu jamaa hizi sio story za kijiwe cha kahawa mtu kila mganga bingwa kutoka shinyanga anajiona fahari kufanya kazi na huyu mtu
Anaogopeka sio shinyanga tu hata ndani ya bunge na ndani ya chama chake tena ndani ya chama ndio hagusiki usiombe ukutane na wachawi wanaotumikia uchawi katika msisha yao.
 
Sio uchawi huo uliosema ww kiufipi jamaa kaweka vyeti vya Havard kando katengeneza maisha kupitia uchawi huu wa dunia Kama unahisi utani kagombee Jimbo lake ili uje na mrejesho wa huo uchawi wa Havard.
 
nakumbuka sijui ni vick na mwenziye sijui akina vicky walimnyima kitu gani
 
Chenge komeshaa...Hakuna kashfa kubwa Tz imempita mamaee... yani kuanzia Richmond mpaka Epaaa[emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119]
 
JOKA LENYE MAKENGEZA=LISHETWANI LENYE MAKENGEZA
 
Chenge hagusiki .....
Mguse uone.......

Ova
 
Na anasema yeye haihitaji kupigiwa kampeni na yeyote yule akitaka kuwa mbunge anakuwa hakuna mbulumundu yoyote wa kumzuia yeye ni yote zaidi ya yote. Bravo Mtemi aka joka lenye makengeza.
 
Hii ni vita ya ubunge Bariadi tu hizi nyuzi zinafufuliwa na wapinzani wake naona kawashika pabaya
Pambaneni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…