Unafahamu black death au bubonic plague? Ni zaidi ya korona na iliua sana ulaya mwaka 1352 hadi 1355

Mpaka sasa kuna mengi hatujui kuhusu huu ugonjwa ila tusubiri yajayo
Mpaka sasa bado unauwa watu kila siku tena kwa mamia
Pamoja na kujikinga lakini unauwa kwa kasi sana Ulaya

Sent from my iPhone using Tapatalk
 
Spanish flu on contrary iliua zaidi vijana kati ya miaka 20 na 40 kinyume kabisa na covid 19, hilia sijui madaktari wanalizungumziaje lakini kusudi la Mungu liko wazi kabisa. Ages kwa zamu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Nao waliokufa ni wanaume. Simply ni kuwa ilikuwa inasambaa maeneo ya kazini hasa migodi ya kuchimba makaa ya mawe na viwandani. Sehemu zote zenye wafanyakazi wanaume tu zinakuwaga na mazingira magumu.

Watoto, wanawake na wazee walikuwa majumbani hivo hawakuambukizwa sana ugonjwa huo.
 
Wakuu dunia haikuwahi kuwa salama.

Mwaka 1352 hadi 1355 ktk kila watu watano huko ulaya watatu walikufa kwa ugonjwa huu black death au bibonic plague. Mwili wa muathirika ulibadilika kuwa mweusi Na mwishowe kifo kibaya. Pia uliambukiza na mapdri waliogopa kuzika watu.

Cha ajabu ugonjwa huu pia uliathiri sana Italy kaskazini kama ulivyo Corona na ulianzia huko na kusambaa kote ulaya.

Ktk watu 500 watu 300 walikufa na ktk watu 5,000,000 watu milioni 3 walikufa. Unaambiwa usipime ni zaidi ya Corona.

Hawa ndugu zetu wazungu wangekuwa wengi sana ila ugonjwa huu ulifyeka karibu bara lote kwa miaka mitatu tu. Sijui kama sio ugonjwa huu kama Leo dunia kungekuwa na mahala pa kulima au hata kujenga.

Pia kuna ugonjwa mwingine uliwafyeka sana wazungu uitwao "Dancing mania". Nitauzungumzia siku nyingine.

Je Corona itaipiku black deaths?
Huu ugonjwa ulijulikana kama the Great Pestilence, ulianzia 1300's maeneo ya Asia China na baadae kusambaa maeneo mbalimbali. Ulitinga rasmi barani Ulaya 1347 baada ya Meli 12 kutia nanga katika bandari ya Sicilian mjini Messina.
Watu waliokuwa bandarini siku hiyo walishangazwa na maiti nyeusi za wafanyakazi wa meli hizo na wale waliokuwa wazima walikuwa kwenye hali mbaya huku miili yao ikiwa na vidoti vyeusi. Mamlaka ya mji wa Mesina uliamuru zile meli kutolewa na kupelekwa mbali baharini lakini walikuwa wamekwisha chelewa. Gonjwa lilikuwa limeshatia timu Ulaya na kuanzia kushambulia wale waliokuwa bandarini siku zile meli zilipotia nanga.
Ni ugonjwa ulioilamba idadi kubwa ya watu wa Ulaya zaidi ya watu 20milioni karibia 1/3 ya idadi ya watu wote wa bara la Ulaya walikufa kwa ugonjwa huu.
Wazungu na mafua ni watu wepesi sana. Je Covid19 itashambulia na kuvuka madhala yaliyosababishwa na Bubonic plaque ya miaka hiyo?
 
Hivi hiyo ilikuwa factor mojawapo ya ku decline kwa feudalism in Ulaya ?
Ndio baada ya kuenea kwa huu ugonjwa barani Ulaya mabwana ardhi wengi walikufa na maeneo yao ya utawala kutetereka. Kiufupi zile routes za biashara pia zilivurugika sana hii ilipelekea waliobaki kuanza kujilimbikizia mali mpaka ugonjwa ulipotoweka na mambo kuanza kujiseti katika mfumo mpya wa kimaisha na kiuchumi uliojulikana kama ubepari.
 
Dunia imepitia vipindi vigumu na Majanga makubwa ya kutisha kuanzia vita,ukame, vimbunga,mafuriko, milipuko ya volkano, matetemekoo ya ardhi, tauni, magonjwa na mengineyo.

Ila bado binadamu hawakutoweka kwenye uso wa dunia japo kuna viumbe walitoweka.

Hata hili pia (Corona) litapita tu na maisha ya binadamu yataendelea tu maana hii sayari ya tatu (🌍🌍🌍) ndiyo sayari pekee yenye viumbe hai aliyozawadiwa binadamu na Mungu muumba wa mbingu na nchi.
Kwa kuwepo kwa quantrilions ya sayari ulimwenguni kote na zingine zikifanana kimazingira na kusapoti maisha ya kama hapa duniani unaamini kuwa viumbe vipo sayari hii tu ya dunia mkuu?
Maisha sio lazima yawe carbonic based kama sisi viumbe wa dunia hii(Human being) , bali kuna aina nyingine ya form of beings ambazo zipo in other low or high dimensions ambazo kwa uwezo wetu aliotupatia Mungu hatuvioni hivyo viumbe na vinaendelea na maisha yao. Kwenye vitabu vitakatifu Mungu amesema "Naliumba viumbe vinavyoonekana na visivyoonekana".
Kuwepo kwa malaika na majini ambao wanauwezo wa kujidhihirisha mbele ya binadamu ni mfano hai wa kuwepo kwa viumbe vingine.
 
Wakuu dunia haikuwahi kuwa salama.

Mwaka 1352 hadi 1355 ktk kila watu watano huko ulaya watatu walikufa kwa ugonjwa huu black death au bibonic plague. Mwili wa muathirika ulibadilika kuwa mweusi Na mwishowe kifo kibaya. Pia uliambukiza na mapdri waliogopa kuzika watu.

Cha ajabu ugonjwa huu pia uliathiri sana Italy kaskazini kama ulivyo Corona na ulianzia huko na kusambaa kote ulaya.

Ktk watu 500 watu 300 walikufa na ktk watu 5,000,000 watu milioni 3 walikufa. Unaambiwa usipime ni zaidi ya Corona.

Hawa ndugu zetu wazungu wangekuwa wengi sana ila ugonjwa huu ulifyeka karibu bara lote kwa miaka mitatu tu. Sijui kama sio ugonjwa huu kama Leo dunia kungekuwa na mahala pa kulima au hata kujenga.

Pia kuna ugonjwa mwingine uliwafyeka sana wazungu uitwao "Dancing mania". Nitauzungumzia siku nyingine.

Je Corona itaipiku black deaths?
unataka mashindano kumbe ya magonjwa?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa kuwepo kwa quantrilions ya sayari ulimwenguni kote na zingine zikifanana kimazingira na kusapoti maisha ya kama hapa duniani unaamini kuwa viumbe vipo sayari hii tu ya dunia mkuu?
Maisha sio lazima yawe carbonic based kama sisi viumbe wa dunia hii(Human being) , bali kuna aina nyingine ya form of beings ambazo zipo in other low or high dimensions ambazo kwa uwezo wetu aliotupatia Mungu hatuvioni hivyo viumbe na vinaendelea na maisha yao. Kwenye vitabu vitakatifu Mungu amesema "Naliumba viumbe vinavyoonekana na visivyoonekana".
Kuwepo kwa malaika na majini ambao wanauwezo wa kujidhihirisha mbele ya binadamu ni mfano hai wa kuwepo kwa viumbe vingine.
Hizo sayari zenye maisha kwa viumbe hai tofauti na dunia unaweza kuzitaja japo chache tu na viumbe wanaopatikana huko?

Hao majini na malaika una hakika ni miongoni mwa viumbe hai? Maana moja ya sifa ya viumbe hai ni kufa je wao pia hufa?
 
Uzi ujikite kwenye black death tujifunze zaidi badala ya kuingiliwa na Napoleon na Vatican
Ni vigumu kwa wabongo kujikita kwenye mada maana "kuhemkwa" ni kama jadi kwetu... ndio maana vitu vingi ama mijadala hukosa tija kusudiwa!!!
 
Hizo sayari zenye maisha kwa viumbe hai tofauti na dunia unaweza kuzitaja japo chache tu na viumbe wanaopatikana huko?

Hao majini na malaika una hakika ni miongoni mwa viumbe hai? Maana moja ya sifa ya viumbe hai ni kufa je wao pia hufa?
In just a small observable part of the universe zimegundulika billions of planets in which some of them are habitable planets like earth sasa ukiniambia nizitaje inabidi niingie library alafu nirudi hapa.
Swali lako la pili kuhusu malaika na majini wewe unaonjea in your personal perspective?
 
Huu ugonjwa ulijulikana kama the Great Pestilence, ulianzia 1300's maeneo ya Asia China na baadae kusambaa maeneo mbalimbali. Ulitinga rasmi barani Ulaya 1347 baada ya Meli 12 kutia nanga katika bandari ya Sicilian mjini Messina.
Watu waliokuwa bandarini siku hiyo walishangazwa na maiti nyeusi za wafanyakazi wa meli hizo na wale waliokuwa wazima walikuwa kwenye hali mbaya huku miili yao ikiwa na vidoti vyeusi. Mamlaka ya mji wa Mesina uliamuru zile meli kutolewa na kupelekwa mbali baharini lakini walikuwa wamekwisha chelewa. Gonjwa lilikuwa limeshatia timu Ulaya na kuanzia kushambulia wale waliokuwa bandarini siku zile meli zilipotia nanga.
Ni ugonjwa ulioilamba idadi kubwa ya watu wa Ulaya zaidi ya watu 20milioni karibia 1/3 ya idadi ya watu wote wa bara la Ulaya walikufa kwa ugonjwa huu.
Wazungu na mafua ni watu wepesi sana. Je Covid19 itashambulia na kuvuka madhala yaliyosababishwa na Bubonic plaque ya miaka hiyo?
Hatuna jibu kwa sasa kwa sababu bado corona haijaisha
 
Ndio baada ya kuenea kwa huu ugonjwa barani Ulaya mabwana ardhi wengi walikufa na maeneo yao ya utawala kutetereka. Kiufupi zile routes za biashara pia zilivurugika sana hii ilipelekea waliobaki kuanza kujilimbikizia mali mpaka ugonjwa ulipotoweka na mambo kuanza kujiseti katika mfumo mpya wa kimaisha na kiuchumi uliojulikana kama ubepari.
Hivi kama ugonjwa huu usingetokea wazungu wangekuwa na pa kuishi dunia hii? Je wangeobdoka Africa kirahisi? Ya Mungu mengi.
 
Kuondoka wangeondoka kama walivyoondoka kupitia njia zilizotumika kuwaondoa wakoloni. Keep in mind kuwa wazungu hawakuondoka Afrika kwasababu ya huu ugonjwa
 
Inaibuka imani barani Ulaya kwamba paka hasa weusi ni wa kichawi(kuhusishwa na nguvu za giza), imani iliyokuzwa pia na kanisa. Watu wanaanza kuwaua paka(mauaji ya haraiki). Hii inapelekea kupungua sana kwa paka barani ulaya. Upungufu wa paka unapelekea ongezeko kubwa la panya maana paka ambao wangebalance hali wameuawa. Kwa kuwa panya hua wanabeba viroboto na viroboto ndo carrier wa bubonic plague.. So unaibuka ugonjwa huo na kuifagia ulaya. Kila kiumbe kina umuhim katika mazingira. Treat every creature rightly
 
Hatuna jibu kwa sasa kwa sababu bado corona haijaisha
Itachukua miezi 18 kupatikana kwa chanjo ya huu ugonjwa Covid19 according to bio researchers mbalimbali. Corona inaweza ikaipiku bubonic plaque kwasababu hii ni pandemic disease na ndani ya muda mfupi imeweza kuua watu wengi kwa haraka. So mpaka chanjo yake inapatikana dunia itakuwa inaongea kwa lugha nyingine kuhusu huu ugonjwa wa kisasa zaidi duniani.
 
Inaibuka imani barani Ulaya kwamba paka hasa weusi ni wa kichawi(kuhusishwa na nguvu za giza), imani iliyokuzwa pia na kanisa. Watu wanaanza kuwaua paka(mauaji ya haraiki). Hii inapelekea kupungua sana kwa paka barani ulaya. Upungufu wa paka unapelekea ongezeko kubwa la panya maana paka ambao wangebalance hali wameuawa. Kwa kuwa panya hua wanabeba viroboto na viroboto ndo carrier wa bubonic plague.. So unaibuka ugonjwa huo na kuifagia ulaya. Kila kiumbe kina umuhim katika mazingira. Treat every creature rightly
Sipingani nawe mkuu Ila huu ugonjwa asiri yake ni China miaka ya 1300s na Ulaya ilingia kwa mara ya kwanza October 1347 mjini Messina.
 
Itachukua miezi 18 kupatikana kwa chanjo ya huu ugonjwa Covid19 according to bio researchers mbalimbali. Corona inaweza ikaipiku bubonic plaque kwasababu hii ni pandemic disease na ndani ya muda mfupi imeweza kuua watu wengi kwa haraka. So mpaka chanjo yake inapatikana dunia itakuwa inaongea kwa lugha nyingine kuhusu huu ugonjwa wa kisasa zaidi duniani.
Fatality rate ya Covid-19 (kiwango cha watu wanaokufa baada ya kuugua) ni ndogo sana ukilingqnisha na Bubonic Plague.

Bubonic Plague ikiua kati ya 30% na 60% ya watu wote iliyowapata.

Coronavirus Covid-19 inaua kati ya 1% na 2%. Ikizidi sana 3%.

Sent from my typewriter using Tapatalk
 
Back
Top Bottom