Unafahamu black death au bubonic plague? Ni zaidi ya korona na iliua sana ulaya mwaka 1352 hadi 1355

Soma hayo maelezo screenshot kutoka link uliyotoa afu ulete maana yako unayotetea. Nina kitabu cha vita zote muhimu duniani nimekiacha na vingine vingi nshasoma.View attachment 1403284
This happened after the killing of his general by Pope's soldiers. As you know they had reached a cease fire agreement.
Upon the selection of new Pope, the dude had to leave the territorial integrity of the Vatican. It was for his own benefit
 
This happened after the killing of his general by Pope's soldiers. As you know they had reached a cease fire agreement.
Upon the selection of new Pope, the dude had to leave the territorial integrity of the Vatican. It was for his own benefit
Bado maelezo yako hapa yanaendelea kuonesha nilichokisema. Hebu soma hata mstari wa pili kutoka mwisho uloandika.
Naishia hapa tujadili mada iliyopo.
 
Black death na spain flue ipi iliua watu wengi zaidi?

Sent using Jamii Forums mobile app
Spanish flu iliua watu wachache kuliko black death.
Tena ile ndo inafanana kidogo na corona. Ilianza kama sikosei 1918 ampabo wanajeshi wa Marekani walirudi nayo nyumbani baada ya vita. Wanajeshi waliokufa kwa Spanish flu ni wengi kuliko waliokufa kwa vita.
 
MKUU, BLACK DEATH/BUBONIC PLAGUE HAJKUANZIA EUROPE.

UGONJWA HUU ULIANZIA NCHI YA CHINA, MIAKA YA 1340,s.

ILIPOFIKA MWEZI OCTOBER 1947 UGONJWA UKAINGIA BANDARI YA CECILI PALE MESINA NDO UKAANZA KUSAMBAA ITALY, FRANCE NA BAADAE UINGEREZA.

NI UGONJWA ULIOUWA ROBO TATU YA WATU WA BARA LOTE LA ULAYA.

PIA UGONJWA HUU ULIFIKA HADI HUKU AFRICA SANA SANA NCHI YA MISRI AMBAYO ILIKUWA NA CONTACT YA KIBIASHARA NA MASHARIKI YA KATI.
Sikujua hili, source yangu inaonesha ilianzia Italy. Kama ilianzia China basi historia inajirudia, na pengine Mungu anajua haya kwanini yatokee.
 
Wakuu dunia haikuwahi kuwa salama.

Mwaka 1352 hadi 1355 ktk kila watu watano huko ulaya watatu walikufa kwa ugonjwa huu black death au bibonic plague. Mwili wa muathirika ulibadilika kuwa mweusi Na mwishowe kifo kibaya. Pia uliambukiza na mapdri waliogopa kuzika watu.

Cha ajabu ugonjwa huu pia uliathiri sana Italy kaskazini kama ulivyo Corona na ulianzia huko na kusambaa kote ulaya.

Ktk watu 500 watu 300 walikufa na ktk watu 5,000,000 watu milioni 3 walikufa. Unaambiwa usipime ni zaidi ya Corona.

Hawa ndugu zetu wazungu wangekuwa wengi sana ila ugonjwa huu ulifyeka karibu bara lote kwa miaka mitatu tu. Sijui kama sio ugonjwa huu kama Leo dunia kungekuwa na mahala pa kulima au hata kujenga.

Pia kuna ugonjwa mwingine uliwafyeka sana wazungu uitwao "Dancing mania". Nitauzungumzia siku nyingine.

Je Corona itaipiku black deaths?
Ungesubir hyo siku ingine ukazungumzia magonjwa yote

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mojawapo ya swali ambalo sipendelei kuulizwa. Tuko kwenye mada muhimu niandike matangopori nifaidike na nini. Kama nimekosea mtu ataleta facts.
. The Spanish flu pandemic, which was most likely avian in origin, infected one-fifth of the world’s population and killed 50 million people—much more than the World War that preceded it

Sent using Jamii Forums mobile app
 
. The Spanish flu pandemic, which was most likely avian in origin, infected one-fifth of the world’s population and killed 50 million people—much more than the World War that preceded it

Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa watu milioni 50 ni kati ya idadi gani duniani. Wakati Bubonic Pague inatokea population ya watu ilikuwa ndogo kulinganisha na Spanish flu ilivotokea miaka ya baadae. Kadri miaka inavoenda ndivyo watu wanazidi kuongezeka duniani.
Na bado bubonic plague iliua ⅓ ya watu wote Ulaya.
 
Spanish flu on contrary iliua zaidi vijana kati ya miaka 20 na 40 kinyume kabisa na covid 19, hilia sijui madaktari wanalizungumziaje lakini kusudi la Mungu liko wazi kabisa. Ages kwa zamu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom