Mshika Tester
Member
- May 3, 2020
- 38
- 35
katika fani ambazo zimejificha na siyo rahisi mtu kujua manufaa ya kusoma ni fani za Computer.
Zamani niliamini ya kwamba mtu hana haja ya kusomea Computer anaweza kujifunza kama vile ilivyo simu. Hivi na wewe unaamini kama nilivyokuwa na amini mimi au wewe unamtazamo gani mtu anaposema anasomea Computer?
Unaweza kuwa ni mada kama ya utani vile lakini kuna vijana wengi utawaokoa kupitia mchango wako, usipuuze kuweka maoni yako.