Unaelewa nini hapa?

gr8 masae

Member
Nov 30, 2016
6
45
Mr. Truth!! Bei ya Mkaa itapanda maradufu, EWURA yaomba kupandisha bei ya umeme kwa asilimia 18, Wanafunzi 30,000 wakosa mikopo vyuo vikuu, Benki X yafilisika, Bunge halina fedha za kurushwa LIVE.

Nchi inabana matumizi, ziara ya Mkuu wa Mkoa "LIVE", Bombardier Zanunuliwa, Nchi ya Viwanda inakuja, Rais atangaza kuhamia Dodoma, Kiwanda cha Dangote hatarini kufungwa, Matamko ya Waziri wa Elimu yaendelea, Serikali yaendelea na mchakato wa kuleta ajira, Wafanyakazi wa kampuni Y wapunguzwa, Uchumi wa nchi unakua kwa kasi, Hoteli zageuzwa kuwa hostel.

Unaelewa nini?
 

Abunwasi

JF-Expert Member
Jun 25, 2009
5,497
2,000
MR.Truth!!!!!!!!!!!!!!!!!? Bei ya Mkaa itapanda maradufu...EWURA yaomba kupandisha bei ya umeme kwa asilimia 18...Wanafunzi 30,000 wakosa mikopo vyuo vikuu...Benki X yafilisika...Bunge halina fedha za kurushwa LIVE...Nchi inabana matumizi...Ziara ya Mkuu wa Mkoa "LIVE"... Bombardier Zanunuliwa... Nchi ya Viwanda inakuja...Rais atangaza kuhamia Dodoma...Kiwanda cha Dangote hatarini kufungwa...Matamko ya Waziri wa Elimu yaendelea...Serikali yaendelea na mchakato wa kuleta ajira...Wafanyakazi wa kampuni Y wapunguzwa...Uchumi wa nchi unakua kwa kasi...Hoteli zageuzwa kuwa hostel...
@#Unaelewa_nini?
Wewe unataka sisi tuelewe nini?????
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom