Advocate Mnyali
Member
- Jul 26, 2022
- 15
- 16
Yesse anafaa sana
Unamaanisha "Bwashee"?.Apewe Bashee
Nilidhani umemtaja Jenister, ningekunja ngumi aise.This time tunataka PM mwanamke ambaye atakuwa Jennifer Mhagama.
Kumbe anaitwa Jenista, ngoja nikarekebishe.Nilidhani umemtaja Jenister, ningekunja ngumi aise.
duh... mkuu hizi ni tuhuma nzito mno, JF itahitaji ushahidi kabla ya kuanza kuzifanyika kazi. kumbuka hili jukwa ni kongwe na lina watu wanaojitambua.Tangy mwenda zake haondoke huyu jamaa kapwaya kiutendaji sana Tena sana!! Kwa maoni yangu anamuujumu Samia, hakubaliani nae kabisa. Mama shituka Kuna genge serikalini linakuujumu likiongzwa na pm katibu wake akiwa ajelina mabula! Mratibu mkuu ni mkamba jr
Ngoja azubae mpaka tusikie "yarabi kiti changu chaporwa..." too late.Mama shituka
Hawa kiwango chao ni UraisMbowe, Tundu lissu akiwa raisi
KilazaHili ni swali tu ndugu zangu, wala halina Uhusiano na jambo lolote lile.
Cheo ni dhamana ya Muda mfupi sana ni kama mbio za kupokezana vijiti tu, leo huyu, kesho yule .
Kiongozi aweza kuachia madaraka kwa kuondolewa na Mamlaka ya Uteuzi, aweza pia kuachia madaraka kwa hiyari yake, ama aweza kuondoka kwa kumaliza utumishi wake kwa mujibu wa sheria, Hivyo basi msiogope kupendekeza majina mapya, maana hakuna Waziri Mkuu wa Milele.
Cha Msingi ni kuzingatia tu kwamba Sheria za Tanzania zinaelekeza kwamba, Waziri Mkuu ni lazima atokane na Wabunge wa kuchaguliwa.
Taja Jina ulitakalo bila hofu yoyote. Utalindwa.
[/Sele man jafo
nidhamu serikalini kipindi cha JPM alihusika pakubwaAmewahi kufanya kipi cha kukumbukwa ?