Unadhani nani anafuata baada ya Balozi Humphrey Polepole?

Its Tesha

Senior Member
Joined
Oct 6, 2025
Posts
168
Reaction score
604
Baada ya kutekwa kwa Balozi Polepole natoa tahadhari kwa watu wengine ambao wapo kwenye hatari ya kutekwa kwanza Askofu Josephat Gwajima, pili Joh Heche na tatu Mkurugenzi wa JF Melo yupo hatarini sana kwa namna alivyokuwa akizungumza inaweza kuwa hatari kwake.

Hawapaswi kabisa kuwa nchini makosa aliyoyafanya Polepole yasifanyike kwa wale niliowataja.

Asanteni.

1759756976257.png
 
Mmmmhhhh ngumu kutabiri
 
Anaweza kufuata mzee Warioba, au jenerali Ulimwengu, au Gwajima, au WEWE,au MIMI! Au mtoto wako, au mjukuu wako, au hata tu mtoto wa chekechea asiyejua lolote!! The land has gone wild, kila mtu kwenye eneo lake achimbe shimo la futi 6×6×4! Linaweza kumfaa siku moja, for there will be no one to dig for you those days, the days that are so near, kama polepole leo anasali sala aliyoisali mdude, na ben saa8, na mzee Mohammed kibao, basi sala hiyo ni ya taifa kwa sasa, you are not safe! No matter what!
 
Mimi na fikiri wanaoamuru kutekwa akina hpp
 
Baada ya kutekwa kwa Balozi Polepole natoa tahadhari kwa watu wengine ambao wapo kwenye hatari ya kutekwa kwanza Askofu Josephat Gwajima, pili Joh Heche na tatu Mkurugenzi wa JF Melo yupo hatarini sana kwa namna alivyokuwa akizungumza inaweza kuwa hatari kwake.

Hawapaswi kabisa kuwa nchini makosa aliyoyafanya Polepole yasifanyike kwa wale niliowataja.

Asanteni.

Gwajima au Samia
 
Anaweza kufuata mzee Warioba, au jenerali Ulimwengu, au Gwajima, au WEWE,au MIMI! Au mtoto wako, au mjukuu wako, au hata tu mtoto wa chekechea asiyejua lolote!! The land has gone wild, kila mtu kwenye eneo lake achimbe shimo la futi 6×6×4! Linaweza kumfaa siku moja, for there will be no one to dig for you those days, the days that are so near, kama polepole leo anasali sala aliyoisali mdude, na ben saa8, na mzee Mohammed kibao, basi sala hiyo ni ya taifa kwa sasa, you are not safe! No matter what!
No one is safe
 
Heche au pastor
 
Kwa Sasa Kila mmoja aliye kinyume na ushetani wa CCM Yuko hatarini kutekwa na kuuawa
Hakuna aliye salama
 
Haya ndugu yetu polepole habari yake kwisha teyari anayefuata kunyonywa damu atakuwa nani..?

Gwaji boy yeye alijitimkia zake mapema the same day alivyo toa press akakimbia zake Germany na familia zima.
Ngoja tuone itavyokuwa..!
Mtandao
 
Anaweza kufuata mzee Warioba, au jenerali Ulimwengu, au Gwajima, au WEWE,au MIMI! Au mtoto wako, au mjukuu wako, au hata tu mtoto wa chekechea asiyejua lolote!! The land has gone wild, kila mtu kwenye eneo lake achimbe shimo la futi 6×6×4! Linaweza kumfaa siku moja, for there will be no one to dig for you those days, the days that are so near, kama polepole leo anasali sala aliyoisali mdude, na ben saa8, na mzee Mohammed kibao, basi sala hiyo ni ya taifa kwa sasa, you are not safe! No matter what!
sasa tufanyaje kukomesha ushetani huu?
 
Watajitokeza wengine wakali zaidi, hii ni spirit ni ngumu kuidhibiti, utajaza magereza bure na ukiwaua damu zao zitalipa kisasi kibaya, ogopa sana
 
Back
Top Bottom