Dogoli kinyamkela
JF-Expert Member
- Nov 21, 2024
- 2,591
- 4,471
Save hii coment yakoManabii wa uongo wengi watatokea....
Tapeliπ UNABII WA MWEZI WA 8
Mwezi wa 8 naona ukiwa mwezi wa utulivu, lakini ndani ya utulivu huo kutajitokeza mambo makubwa. Naona mbingu zikitulia ili kuleta majibu kwa wengi wanaomtafuta Mungu kwa imani.
Maono niliyoandika leo:
1. Naona tasnia ya Bongo Fleva ikipata pigo kubwa.
2. Naona katika Bongo Movie yakitokea matukio mawili ya huzuni yanayowahusu wasanii wawili wanaopendwa na watu wengi.
3. Naona Bunge la Tanzania likiwa katika hali ya huzuni, na nafasi mbili za ubunge zikibaki wazi.
4. Naona upande wa Arusha tukio kubwa linalohusisha mlima na mlipuko wa volkano.
5. Naona atatoka, lakini hatabadilika; badala yake atarudi akiwa na msimamo mkali zaidi kuliko ule wa kwanza.
6. Wafanyabiashara, simameni katika maombi. Naona vifo vya baadhi ya wafanyabiashara wakubwa na wadogo.
Mungu awarehemu watu wake na ageuze kila jambo baya kuwa ushuhuda. Tuendelee kuomba na kumtumaini yeye katika kila wakati.
βοΈ Imeandikwa leo: 28-07-2026
Sawa nabii Dogoli kinyamkelaSave hii coment yako
Free Tundu Lissu5. Naona atatoka, lakini hatabadilika; badala yake atarudi akiwa na msimamo mkali zaidi kuliko ule wa kwanza.
Wale majamaa husema " It goes without saying"Mwanafunzi aingii darasani , hataki kuandika notes
Je akifeli akapata zero au four huu na wenyewe tuuite unabii
TuPO pamojahuu naufatili hadi tarehe 30 mwez wa nne
5. Naona atatoka, lakini hatabadilika; badala yake atarudi akiwa na msimamo mkali zaidi kuliko ule wa kwanza.TuPO pamoja
Ujaelewa na uwez kuelewa Kwa mfumo huoMwanafunzi aingii darasani , hataki kuandika notes
Je akifeli akapata zero au four huu na wenyewe tuuite unabii
Mkuu nikutafunie ad Kumeza Nako uwez Wacha uvivu5. Naona atatoka, lakini hatabadilika; badala yake atarudi akiwa na msimamo mkali zaidi kuliko ule wa kwanza.
Who?