Unabii wa Mwalimu Nyerere watimia

Unabii wa Mwalimu Nyerere watimia

Kuja kwa mange ni mapenzi ya mungu kuandamana ni haki ya kikatiba
Niliwahi leta uzi nikaongelea hichi unachokisema kuwa Mange ni mpango wa Mu gu ila JF thread za Mange zinaishia kuunganishwa tu.

Huyu dada kwa hakika ni mpango wa Mungu katika huu utawala uliojaa dhuluma na ukandamizaji.
 
Naona mnatishia nyau....labda hayo maandamano mtayafanyia mitandaoni na sio kule kwetu Mwandiga....Mimi nasikitika tu kwamba hatuna chama cha upinzani imara....chadema hawana mikakati ya kuing’oa CCM ndio maana utaona sasa wame abandon chama chao na kumfanya Mange mshauri wao.....
Nyau kweli anapoufyata na kuogopa nguvu ya umma lakini kwa vile ni kizazi cha kiza na utelezi hawatunyimi usingizi
 
Hata kaburu alijivunia hayo lakini za mwizi ni arobaini mtaachia ngazi saa sita mchana tena bila kuaaga huo nao ni unabii
Endelea kuota SAA 4 asubuhi, Kama upinzani wenyewe umebaki kumtegemea Sister wetu ahamasishe maandamano huku TZ wakati huo huo mkifanya maandamano mchana yeye alipo US itakuwa usiku akiwa bize na kazi yake ya BLOW JOB, hakuna lolote la maana.Mkijaribu tunawatwanga kweli,sio utani.
 
Tulia wewe mammalia huwa unajifanya una IQ kubwa kumbe ni jiwe kama huyo mwenyekiti wenu wa chama anayejiita jiwe

Ukishaona tu Mtu anamjibu GENTAMYCINE kuwa " unajifanya una IQ kubwa " jua tu ya kwamba muda mwingi na 24/7 huwa anamfuatilia sana na pia ni ' Shabiki ' yake mkubwa. Nimefurahi kujua ya kwamba kumbe na Wewe ni miongoni mwa Watu ambao huwa mnanifuatilia humu Jamvini ( JamiiForums ) safi sana.
 
Mleta mada ni mbunifu kweli. Umewezaje kuwaweka Mandela na Mange kwenye sentensi moja! Ili awe sawa na hao uliowataja, Mange ajivue u-keyboard Warrior na akaandamane Dar na sisi wamakonde wengine.
 
Hata kaburu alijivunia hayo lakini za mwizi ni arobaini mtaachia ngazi saa sita mchana tena bila kuaaga huo nao ni unabii
maneno haya mara nyingi hutamkwa na mtu alieshindwa mipango, alie juu mngoje chini, nk ni maneno ambayo hayana mkakati,
 
Back
Top Bottom