Unabii umetimia?

Mshana Jr

Platinum Member
Aug 19, 2012
280,865
730,422
1466927772359.jpg
1466927777410.jpg
 
Mkuu mshana jr mark of the beast sio hivo vitu ulivyoainisha hapo. Shetani anajaribu kudanganya watu kupitia vielelezo hivyo ulivyoweka.

Kumbuka kuwa Unabii hauachani ya Ulimwengu wa Roho ni kama ambavyo unaweza kutafsiri ulimwengu wa roho ndivyo Unabii unavyotafsiriwa kiimani.
 
Ni kweli kabisa yote huanzia rohoni halafu huja kutafsiriwa kwenye ulimwengu unaoonekana kwa mfano hiyo namba 666 ujio wa barcode, password, human micro chips nk
 
There is something to learn from there,.. Wenye mawazo zaidi na uelewa wa masuala ya kiroho na unabii mtujuze ila isiwe wale manabii waliosemwa na Yesu na nabii Yohana kwenye ufunuo,. Mshana Jr katoa hoja.
 
Mshana jr
Hayaa mambo yapo sana ila lengo ni kutaka wew ufatilie ili waendelee kuchukua atention yako usifatilie na kujifunza abot Mungu.
1466931031708.jpg
1466931039308.jpg
1466931044496.jpg
1466931048485.jpg

In adition unaweza wapa authority ya life yako ukiwa na vitu vya nembo zao cz kuna roho humo, esp ukiwa haupo well na Mungu wako.

Ushaur. Mshana waweke watu aware then tumia taarifa hizo kukumotivate vita za kiroho after kujua ur enemy yupo na mikakati kiasi gani
 
Mshana jr
Hayaa mambo yapo sana ila lengo ni kutaka wew ufatilie ili waendelee kuchukua atention yako usifatilie na kujifunza abot Mungu.View attachment 360304View attachment 360305View attachment 360306View attachment 360307

In adition unaweza wapa authority ya life yako ukiwa na vitu vya nembo zao cz kuna roho humo, esp ukiwa haupo well na Mungu wako.

Ushaur. Mshana waweke watu aware then tumia taarifa hizo kukumotivate vita za kiroho after kujua ur enemy yupo na mikakati kiasi gani
Cha kwanza kutoa ufunuo kwamba hiki unachokiona tafsiri yake ya siri ni hii, asili yake ni hii madhara yake ni haya...kisha baada ya huo ufunuo unakuja na unabii, kufundisha na kuonya kiroho na si kimwili
 
Back
Top Bottom