Umeeleweka mkuu humu kila mtu anajua kinaendelea niniKuna Chanel nimewapiga marufuku nyumbani wasiifungue kabisaaa!.Nadhani nimeeleweka.
inaingia wapi hapa?Chadema nani kawaloga
Haya tuma salamu kwa watu watatuTbc inaongoza halafu Azam na clouds zinafuatia.
ndio burudani yetu hiyoAzam two, japo yule Ivona anajushebedua shebedua ndiye anayeharibu