Unaangalia taarifa ya habari kutoka kituo gani?

Unaangalia taarifa ya habari kutoka kituo gani?

Tujadali kuhusu hili kwa wale mliopata nafasi kuangalia Azam Two News saa mbili usiku na ITV habari.

Binafsi naona azam wako vizuri sana kwa sasa sijui wezangu mnaonaje kwa sababu kwa sasa ITV taarifa zao wanazikimbiza sana kama wamechelewa panton, kama huamini jaribu kuangalia azam utaenjoy sana kwa wale wenye decoder za Azam.
 
maxresdefault_live.jpg
 
Tbc inaongoza halafu Azam na clouds zinafuatia.
 
ITV walikuwa vzr hapo kabla lkn siku hizi mkwara wa Magu umewaogopesha naona wanaelekea kuwa TBC, sijui hawalipi kodi wanaogopa watatumiwa TRA. AZAM wako vzr lkn TV iliyorudi kwenye makali yake tena ni Star TV naona baada kuona Magu hacheki na nyani wameona warudi sasa kwenye taaluma badala ya kupiga porojo za kisiasa km radio uhuru. Tangu TRA wagonge hodi Star TV pamoja na kumpigia propaganda sana jamaa wamebadilika sana sasa wanashusha critical news bila kuangalia itawafurahisha au kuwachukiza watawala.
 
Back
Top Bottom