Unaangalia taarifa ya habari kutoka kituo gani?

Unaangalia taarifa ya habari kutoka kituo gani?

Uwepo wa Charle Hilary na Tido Mhando pale Azam Tv umebadilisha mambo mengi sana, taarifa yao ya habari kwa sasa ni moto kwa kuwa inakusanya mambo mengi na kwa kina zaidi tofauti na Itv wanaofanya habari kama mazoea tu! Heko Azam Tv
 
Jf habar za moto kabisa hvyo vituo gani cjui marudio tu
 
Back
Top Bottom