LOTH HEMA
JF-Expert Member
- Dec 6, 2015
- 29,629
- 47,080
ITV, The Super Brand East Africa.Mimi kwasasa Azam two wameniteka, taarifa yao ya habari huwa imeshiba sana na huwa ni ya kina hasa, huku ikichagizwa na uwepo wa Mkongwe Charles Hillary akiwa kama msomaji.
Changamoto pekee ni kuwa lazma uwe na kisimbusi chao ili uweze kufaidi uhondo wa taarifa yao ya habari.
Je wewe mdau ni taarifa ya habari ya kituo gani huwa inakuvutia?