Unaamini katika Karma, kwamba malipo ni hapahapa duniani?

Alisema msomi mmoja kuwa (natafsiri kwa lugha ya taifa) "huwa mara nyingi haimwachi salama mtenda lazima imrudie kwa kiasi kile kile alichotenda kwa mwenzake au inazidi kuliko yule mtendewa sasa akibahatika isimpate basi atawapa tabu kidogo tu uzao wake Ila asilimia 99 huwa zinampata mhusika nashauri tutende wema kwa kila mtu kwani binadamu hatilii maanani jambo zuri hadi limpate ndo anarudi nyuma kutafakari"
Ninacho amini kitu kinachorudia kwa mtu ni kule alicho kusudia, kwa mfano deni...kuna mtu anakua anamdai mtu pesa na kamwe hamlipi kwa kipindi kirefu mpaka mkopeshaji anaamua kusema namuachia MUNGU.

Hapa kuna mkopaji ana moyo kabisa wa kulipa deni lakini anapita miaka akiwa bado amekwama na anaishia kupata pesa ya kula na yenyewe inamsumbua sana sana,anakua hajadhamiria kuzurumu mtu na anamuomba MUNGU ampatie ili awe na pesa ya kula na aweze kumlipa mdeni wake.

Huyu wa hivi anaweza asipate madhara sema watu hua hawajui tu na wakiwa na kakitu wanadhani mdeni wake anakusudia

Isipokua mdaiwa akiacha kwa kudharau tu na kiburi amedhamiria kua halipi na pesa anapata basi huyo itatimia mnayosema.
 
Kuna wamama walinidhulumu hela yangu ya kuku jamani, niliwapelekea kuku wakanipa hela kidogo, hiyo nyingine nilifuatilia hadi nikachoka kwa kweli, na nilikuwa napitia kipindi kigumu kweli kweli 😢😢😢mwishoni niliamua kumwachia Mungu na sikwenda tena kudai hadi leo
 
Kuna wamama walinidhulumu hela yangu ya kuku jamani, niliwapelekea kuku wakanipa hela kidogo, hiyo nyingine nilifuatilia hadi nikachoka kwa kweli, na nilikuwa napitia kipindi kigumu kweli kweli mwishoni niliamua kumwachia Mungu na sikwenda tena kudai hadi leo
Mkuu Kama walikudhulumu kwa makusudi karma will catch up with them ama hata ukute ilishawapata. Utapata walipata hasara ya pesa ama familia ilipitia shida magonjwa/ajali ikabidi watumie pesa.
 
Kuna watu tumefanyiwa Mambo ya ajabu Sana na watu tuliowaamini na kuwathamini

Kitu kimoja kikubwa nmejifunza kuhusu maisha

Ni kwamba It goes on

Nasamehe nasamehe , nasamehe kwa faida ya moyo wangu

Kama karma IPO sawa

Usikute na Mimi nalipa Mambo ya mzee wangu

Samehe endelea na maisha sifuatilii anaendeleaje

Atajua mwenyewe kikubwa nahakikisha na mafanikio makubwa

You will always be offended by some people at some point in your life. Don’t take it to heart. Don’t keep it inside you. Holding on to hurt and pain will only harm you in the long run. Choose to forgive. Release the baggage of your past. Let it go and let the Almighty heal you!

Even the most "genuine" people can fool you. In this day & age it’s hard to tell who’s a true friend. So you go through life hoping people are being sincere & genuine. But be prepared to be let down. It’s part of life. People will hurt you. Only the Almighty can heal you!
Mkuu kusamehe ndio rule number one, Na kuhusu Karma sio eti umfatilie anaendeleaje na kumuombea mabaya. Samehe and leave it to God. Karma will catch up with them hata bila wewe kujua though wengine huona how karma catch up na waliowatendea mabaya.
 
Huyo uliekua unamdai ukamkuta anaumwa unafikiri hayo ndo yalikua malipo ya deni lako? Je ungekua humdai asingeumwa?
Neno malipo ni hapahapa duniani ni maneno yaliyo andaliwa ili wanyonge wayaamini na wapoteze haki zao.

Hii Dunia haipo kwaajili ya watu wanao samehesamehe
Uko Sawa 100%
 
Mkuu kusamehe ndio rule number one, Na kuhusu Karma sio eti umfatilie anaendeleaje na kumuombea mabaya. Samehe and leave it to God. Karma will catch up with them hata bila wewe kujua though wengine huona how karma catch up na waliowatendea mabaya.
Sio muumini wa Imani yako hii mkuu

Siombei mabaya yawakute walionikosea
 
Karma humuombei mtu mabaya yamtokee infact ukiwa unamuombea mabaya yamtokee utasubiri Sana. Samehe na usahau then leave it Kama haijawahi tokea. Karma itself will catch up na huyo mkosaji.
Sawa siamini karma labda
 
Karma humuombei mtu mabaya yamtokee infact ukiwa unamuombea mabaya yamtokee utasubiri Sana. Samehe na usahau then leave it Kama haijawahi tokea. Karma itself will catch up na huyo mkosaji.
Anyway nature Ina way yake ya kufanya vitu .....

Achana na nature kabisa

Naelewa unachosema

Uwe na siku njema
 
Huyo uliekua unamdai ukamkuta anaumwa unafikiri hayo ndo yalikua malipo ya deni lako? Je ungekua humdai asingeumwa?
Neno malipo ni hapahapa duniani ni maneno yaliyo andaliwa ili wanyonge wayaamini na wapoteze haki zao.

Hii Dunia haipo kwaajili ya watu wanao samehesamehe
Well said mafisadi wanaiba na wanazidi kupeta hamna karma Wala Nini ni unyonge tu survival for the fittest
 
Hii Karma inanisumbua sana. Nikimuibia mtu kitu mm naibiwa/ kupoteza Kikubwa zaidi hadi naumia sana.

Imagine Naiba earphones hata elfu 20 hazifiki napoteza simu ya milioni 1.5

Na sauti ya karma inanijia
See! The voice huwa ni so powerful & loud within kiasi kwamba huwezi kuipinga. Watu wasiangalie karma (laana) kama tu matokeo ya kutenda ubaya. Vilevile kuna karma (baraka) ya kutenda mema!!! Those who spend their time wishing for somebody else's death ama failure, huwa nawahurumia sana! They know not wanachokifanya. We should be good wishers na watoa barka kwa wengine! What goes around normally comes around! Hakuna tendo jema ama baya, even if infinitely small, ambalo halitakuwa repaid back in kind, au hata kwa kiwango kikubwa zaidi!
 
Back
Top Bottom