Kuna Kongo Gumi. Wanajenga na kukarabati temples (nyumba za kuabudu za Kijapani) tangu mwaka 578, zaidi ya miaka 1400 iliyopita. Sasa ni wajenzi wakubwa.
Familia ya Kongo waliletwa kutoka Korea na Prince Shotoku kujenga Shitennoji Temple. Wakaijenga mwaka 593.
Mpaka leo kampuni yao inaendeshwa na damu ya Kongo, Mzee Toshitaka Kongo na mwanae Masakazu Kongo hapo Osaka.
Buddhist Shitennoji Temple ipo mpaka leo hapo Osaka. Ilifanyiwa ukarabati mwisho 1963.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.