Unaambiwa; "sikukusaliti, wala sikumpenda, bali nilizidiwa......"

Umekuwa mbali na mpenzio/mkeo/mmeo kwa takriban miezi sita au zaidi...! Japo mawasiliano yalikuwepo na mipango yenu ilikuwa wazi kwa kila mmoja... ! Wiki moja baada ya kukutana tena mwenzako anakueleza kuwa huko alipokuwa alipata ku-do na watu wawili tofauti na kwa nyakati tofauti, lakini akasisitiza maneno yafuatayo; "sikukusaliti, wala sikuwapenda, bali nilizidiwa". Je, ungereact vipi?



Kawaida wanaume wetu hawa wa kiafrika hakwambii, mimi na huby hatuna uzungu to that extent eti kwamba akili alilala na mwanamke mwingine... Dhubutu! hivyo siku akikili najua sasa kanichoka anatafuta sababu ya kuniacha na mimi ndo niwe mwanzilishi, hivyo nitamwambia kwa mapenzi yote "usijali dear kitu kikubwa honey did you use dawa ya penzi?"; maana am not ready to lose him, he is worth it.
 
mhhhhhh! ungevunja uhusiano ,maana kma mwanaume ndio unamwambia hivyo yeye angekasirika tu,hata kma yeye ndio wakwanza kukuambia kuwa katoka out

sasa anamkasirikia nani??
na kwa nini akasirike??
maana wote tupepata "HAKI SAWA"
hahahah lol jmosi njema
 
Toka nimejua hiyo theory aisee nimekuwa mtu wa amani na msamaha sana tu. I always believe I am his number one. Huko kwingine anaenda kutimiza haja zake tu. Sasa sijuhi najipa moyo?

BW,

Kuna kitabu nilisoma i cant remember its title nikikukmbuka nitakujuza
it says that men and women perceive love and sex differently, meaning that
mwanaume anaweza asiwe amempenda yule atakaye have nae sex biashara pale inakuwa ni sex tu but anampend amtu mwingine
ila mwanamke kwake love and sex vinaenda sambamba (ukitoa wafanyabiashara of course)..
so its possible alido na hao na hawapendi.

Men correct me if am wrong
 
Toka nimejua hiyo theory aisee nimekuwa mtu wa amani na msamaha sana tu. I always believe I am his number one. Huko kwingine anaenda kutimiza haja zake tu. Sasa sijuhi najipa moyo?



Nimeipenda NK ... hivi vitu sometimes vyahitaji busara, panicking si mahala pake (itabidi nimtafute sweet dada kuhusu hio nukuu).
 
Back
Top Bottom