Ikitokea umesafiri kwenda nchi za nje utawasilianaje na watu wa huko?
Ongeza ufahamu wa lugha moja ya nje kama vile kiingereza, kifaransa au kichina.
Nimezaliwa mjiniKama vile umezaliwa na kukulia mjini maana huna lugha ya kienyeji.
Tuanze na kigogokihehe kinyakyusa kikinga kigogo kisafa kisukuma kijita kikerewe kiswahili kiingereza na hii imetoka kwa sababu mimi ni chotara