Una uhakika simu yako haiwezi kukutia aibu au kukushushia heshima

Mwachiluwi

JF-Expert Member
Joined
Mar 10, 2022
Posts
33,457
Reaction score
65,765
Ikitokea imetokea umekufa au upo katika hali ambayo haikulazimu wewe kutumia simu yaani ili utumie simu lazima usaidiwe na mtu je vitu ulivyo hifadhi kwenye simu yako kuanzia kwenye mafile mpaka picha je heshima yako bado itabaki vile vile

Kuna mama mmoja simu yake ilikuwa imegoma kufuta picha aliniomba msaada nilicho kuja kukutana nacho sijawai simulia kwa mtu nasimulia leo hapa

Niliona picha zake za naked kajichanua kama ua saa nne niliona aibu sana sema nikajitahidi simu isiende kwingine asije dhidi kudhalilika

Jitahidini kufuta baadhi ya mambo
 
Kuna mama ni katikista wa kanisa, simu yake ilikuwa inakwama kwama akaniomba nimuangalizia.

Niligundua memory iko full maana simu yenyewe ina uwezo mdogo. Katika kufuta futa files nilikutana na video za kusagana kibao.

Kwa vile zilikuwa kwenye folder ya video za whatsapp nilipatwa na shauku ya kujua zilipotokea. Ilibidi niingie whatsapp yake. Huko sasa ndio nilikutana na mambo ambayo yalinifanya nisiweze kuwaangalia usoni baadhi ya kina mama na vibinti vya hapo kanisani mpaka leo.
 
Ikitokea imetokea umefuka au upo katika hali ambayo haikulazimu wewe kutumia simu yaani ili utumie simu lazima usaidiwe na mtu je vitu ulivyo hifadhi kwenye simu yako kuanzia kwenye mafile mpaka picha je heshima yako bado itabaki vile vile

Kuna mama mmoja simu yake ilikuwa imegoma kufuta picha aliniomba msaada nilicho kuja kukutana nacho sijawai simulia kwa mtu nasimulia leo hapa

Niliona picha zake za naked kajichanua kama ua saa nne niliona aibu sana sema nikajitahidi simu isiende kwingine asije dhidi kudhalilika

Jitahidini kufuta baadhi ya mambo
Asante sana kiongozi umetukumbusha jambo la maana kweli, mtu wa maana sana wew mweeeh, 😊
 
Kuna mama ni katikista wa kanisa, simu yake ilikuwa inakwama kwama akaniomba nimuangalizia.

Niligundua memory iko full maana simu yenyewe ina uwezo mdogo. Katika kufuta futa files nilikutana na video za kusagana kibao.

Kwa vile zilikuwa kwenye folder ya video za whatsapp nilipatwa na shauku ya kujua zilipotokea. Ilibidi niingie whatsapp yake. Huko ndio sasa ndio nilikutana na mambo ambayo yalinifanya nisiweze kuwaangalia usoni baadhi ya kina mama na vibinti vya hapo kanisani mpaka leo.
Why visa vya wamama tu au ndo mishangaz yenu
 
Ikitokea imetokea umefuka au upo katika hali ambayo haikulazimu wewe kutumia simu yaani ili utumie simu lazima usaidiwe na mtu je vitu ulivyo hifadhi kwenye simu yako kuanzia kwenye mafile mpaka picha je heshima yako bado itabaki vile vile

Kuna mama mmoja simu yake ilikuwa imegoma kufuta picha aliniomba msaada nilicho kuja kukutana nacho sijawai simulia kwa mtu nasimulia leo hapa

Niliona picha zake za naked kajichanua kama ua saa nne niliona aibu sana sema nikajitahidi simu isiende kwingine asije dhidi kudhalilika

Jitahidini kufuta baadhi ya mambo
Mpwayungu village mada zako ni za ajabu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom