Una swali lingine?

Una swali lingine?

utafiti

JF-Expert Member
Joined
Jul 18, 2013
Posts
12,783
Reaction score
7,675
Shkuru
 
Attachments

  • 1391093570648.jpg
    1391093570648.jpg
    54.5 KB · Views: 638
umasikini umetumaliza sana waafrika, kuna siku tutahukumiwa kwa matumizi mabaya ya rasilimali na madaraka
 
What distinguishes a privilege from a right.

watanzania wengi hatujui tofauti hii na ndio maana tukiikosoa serikali kwenye provision of social services baadhi ya watu wanakwambia acha kuilalamikia serikali, tukiwashiwa umeme tunaona kama "privilege" na sio "right" yetu
 
nikiweka LIKE itaonekana nakubaliana na hii hali Utafiti (I like it?)
 
Last edited by a moderator:
Mkuu tunajichukulia tunastahili sana vitu ambavyo sio haki yetu kabisa.

Unaweza ata enda lunch na jamaa ako ukamlipia chakula au kinywaji kwa kua mmezoeana hasemi ata asante. Mpenzio/rafiki anakupigia simu wakati mnaagana hata mtu hasemi asante kwa kupiga... unampisha mzee kiti kwa daladala anakaa tu kama bubu.. nk nk.

Neno asante ni neno dogo lakini nikuhakikishie halizoeleki... nikimaanisha mtu hachoki kushukuriwa kamwe. na shukrani inayogusa zaidi ni yale mambo madogo dogo ambayo hata mtu hategemei kama amekufanyia kitu cha kimaana kiivo, ila anashtukia unampa shukrani tena kwa unyenyekevu mkubwa. inagusa sana na inachagiza mtu kufanya zaidi na zaidi.

Asante ni ufunguo wa mengi mazuri ya ulichoshukuru.
watanzania wengi hatujui tofauti hii na ndio maana tukiikosoa serikali kwenye provision of social services baadhi ya watu wanakwambia acha kuilalamikia serikali, tukiwashiwa umeme tunaona kama "privilege" na sio "right" yetu
 
You have said especially on the word "asante" siku hizi linasahaulika kabisa

Back
Top Bottom