Una maswali mengi....

Una maswali mengi....

Daudi Mchambuzi

JF-Expert Member
Joined
Nov 25, 2010
Posts
62,189
Reaction score
128,283
africa-photos-20.jpg
 
Waliyataka wenyewe CCM, walipowaacha watu wasiwe na kazi walitegemea wakae hivihivi tu, wasishangae sasa kuona nguvu kazi zikitafuta shughuli ziso tija kwa taifa za kupitisha masiku.
kukosa kazi ndiyo wajiunge na CHADEMA?
 
kukosa kazi ndiyo wajiunge na CHADEMA?

Kujiunga suwala jengine na matendo ni suwala jengine, mimi nazungumzia kuwa alie na ajira si rahisi kuacha ajira yake na kufanya mambo yasiyomletea tija!
 
Back
Top Bottom