Una mapenzi na nani kati ya hawa.

Una mapenzi na nani kati ya hawa.

watapita mda si mrefu usiijali utatolwewa nduki..... ila pesa mbele kama tai ... pesa yako ndo maneno yako

Ngoja nikae hapa karibu na panga niwasubirie hao wababe ilo la pesa kibongo linajulikana labda ulaya.
 
Ngoja nikae hapa karibu na panga niwasubirie hao wababe ilo la pesa kibongo linajulikana labda ulaya.

we ukiwa unarusha panga wengine wanasema miss chagga pesa hizo chukua i love u baby
 
Huku ni MMu na sio Jukwaa la Siasa...
 
simpendi hata mmoja hapo juu zaidi ya mwanangu kwenye picha yangu hapo

Ndugu ni kama cjapishana na wewe yan saiv nampenda mwanangu kuliko baba ake na yeye anampenda mwanae kuliko mim
 
Siasa ndo inatuongoza Mkuu.

Ndiyo tunakubali mkuu ila mgawanyo wa vyumba vya siasa/mapenzi/chitchat na kadhalika una maana yake.

Ukienda kwenye jukwaa lolote shiriki then acha habari/taarifa zake huko huko.
 
hakika kuna watu wachokozi, mtoa mada umechukua namba! mpaka unanichokoza na mimi! aya kura yangu nitakupa pm, au?
 
Back
Top Bottom