Una mapenzi na nani kati ya hawa.

Una mapenzi na nani kati ya hawa.

Molembe

JF-Expert Member
Joined
Dec 25, 2012
Posts
9,933
Reaction score
11,865
1;Dr Slaa
2;Lowassa
Mmekalia tu kugegedana papuchi hamjui hata masuala ya nchi yanaendaje ebu tupeni mrejesho wenu nyie wana MMU hasa wale wa Lady Ambao hamkanyagi kule siasani ni nani anafaa kuongoza kati ya hao, au mnasubiri mpaka mswada wa nguo fupi upitishwe na wanasiasa ndo muanze kuandamana.
 
Last edited by a moderator:

Mimi binafsi kusema ukweli siasa imenikalia kushoto sana, samahani sana mkuu
 
simpendi hata mmoja hapo juu zaidi ya mwanangu kwenye picha yangu hapo
 
sawa na kusimama kituo cha basi na swimming costume! Siasa ya kwenye Mapenzi ni sera za kuweza kumpata mwenza si za kushindania urais!!
 
1;Dr Slaa
2;Lowassa
Mmekalia tu kugegedana papuchi hamjui hata masuala ya nchi yanaendaje ebu tupeni mrejesho wenu nyie wana MMU hasa wale wa Lady Ambao hamkanyagi kule siasani ni nani anafaa kuongoza kati ya hao, au mnasubiri mpaka mswada wa nguo fupi upitishwe na wanasiasa ndo muanze kuandamana.

Naona unawalazimisha wana MMU siasa..wacha.zako!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom