Una maoni gani kuhusu msanii huyu Young dee?

Dexta

JF-Expert Member
Jan 4, 2015
2,048
5,089
d7b249edf38e5ba2e9bc100efc26346a.jpg
 
Huyu dogo role model wake ni Young Money Lil Wayne...so anajitahd kuishi maisha kama ya jamaa wakat anapotea.Inasemekana na Unga anatumia.... Mmh,ajitambue anafupisha maisha yake.
 
Wako wengi duniani wanateseka hatuwaonei huruma Sembuse huyu msanii ana pesa afu anajiumiza mwenyewe
Kwenda zake Mwache afanye maisha yake
Kupoteza yoyote ndio kujifunza
 
Ni bangi tu hio mbona kawaida tu, akili zajo zikiwa fupi haijutaki kila ukiona unavuta unaenjoy bac akili yako inaweza kuhandle, nadhani mshajua jibu kwanini wazungu hawachanganyikiwi kila baadhi ya wafrika wanadata
 
Hiko kitovu ukikiangalia kwa haraka unaweza sema ni jicho :D:D
Ila kwa maoni yangu aongeze juhudi na kubeba nondo,maana kwa kifua alichonacho asidiriki kuvua shati jukwaani.
YNWA
 
Niliona siku moja akihojiwa EATV anaulizwa maharage anajibu sukari ni kama mtu aliyechanganyikiwa naona huruma sana maana ni bado mtoto mdogo sana
Na ukimfuata ukamwambia ana tatizo atakataa na atasema mbona nipo poa tu
Mpaka aharibikiwe kabisa
 
Ndo hivyo maana wasanii wa bongo, huzani kuna maisha ambayo wasanii wa nje huishi kumbe hata hawaishi kama wanavyohisi wanaishi.
 
Cyo kwamba labda pengine kampan alizonazo karibu ndo SOURCE....!?? Maana mbona imekua ghafla tu kuonekana haoni aibu mpaka kupost pic km hyo kwenye Social network...wakat hakua hvyo before.
 
young dee ni moja kati ya wasanii ninao wapenda ila hii style yake sasa na mwili wake huo mmmmmh

Kama king kong na mwili wote alibaki vile je huyu itakuwaje.

Young dee bhna achaaa zako
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom