Una maoni gani kuhusu hii picha

Ni maisha bora kwa kila MTZ
A.K.A Ari Mpya, Nguvu Mpya na Kasi mpya vimewakumba. Mwakani watapewa tena jezi za kidumu (t-shirt zenye picha kubwa ya mh,) na kanga pea moja ya mama nanihii;then kula ni kwa ......

Na bado tutalala sn watz.

Cheerz!!!
 
Duh! mkuu! wenyeji wamefurahia wageni. Ni silka wa watanzania mgeni anapokuja kukutembelea hasa maeneo ambao siyo mijini ni furaha tupu hata kama una shida zimekuandama.
 
ukitaka kujua kama wanafurahi au la mwangalie mtoto aliyepakatwa na mama wa kizungu kwakuwa yeye kama ni furaha ni ya moyoni kama ni huzuni nayo ni ya moyoni kweli siunajua mtoto hadanganyikiiiiiiiii
 
Back
Top Bottom