Wazazi muwatafutie vijana wenu wachumba. Msiwape uhuru sana wa kuchagua.

Mkulungwa01

JF-Expert Member
Jul 14, 2021
3,979
5,295
Ni Jumanne njema!
Niende kwenye hoja yangu.
Kutokana na mabadiliko na mapinduzi ya teknolojia, baadhi ya tamaduni njema kabisa za kiafrika wazazi wengi mmeziacha.

Sasa siyo mbaya kwani kutenda kosa siyo kosa, ila kurudia kosa ndiyo kosa.
Tafadhali rejeeni utaratibu wa miaka ya nyuma ya kuwachagulia vijana na mabinti wachumba, kwa vigezo vya tabia, na afya ya mwili kama vigezo vikuu.

Mtoto wa kike au wa kiume akifika miaka angalau 12 anakuwa na marafiki wa jinsia tofauti karibu, tafadhali jaribu kukagua kama mzazi ni rafiki yupi ana maadili mema na anatoka familia njema.

Ukishampata tengeneza mazingira ya kuwaweka karibu bila wao kufahamu. Wahimize wasome kwa bidii na kushirikiana. Huku unamuuliza uliza kijana maswali ya kumtega pasipo yeye kujua kinachoendelea ili uone majibu yake.

Dunia imeharibika hii msiwape vijana uhuru uliopitiliza kwenye vitu vya msingi.
Ukishindwa sana, basi akifika miaka 15 uwe umeshampendekeza binti wa kuwa mkewe, au kijana wa kuwa mumewe akilini mwako. Msikae 'kiree' wazazi.

Mwisho, kijana akifika miaka 20 hasa wa kiume, ni ngumu sana kumdhibiti hasa kwenye suala la kutofanya ngono.
Kama ni mzima huo umri ndiyo ambapo matamanio yanakuwa makubwa kupita kiasi.

Ongea naye, kama baba kuwa naye karibu na umuelekeze namna ya kujilinda ikiwemo kutumia kondomu, na kuchagua kwa tahadhari marafiki wa kike. Hakuna kuficha kitu.

Halikadhalika mama akae na binti pia. Kufanya hivi si kuwatuma wafanye ngono, bali kutawapa uwezo wa kujitambua na kutambua mipaka yao.

Usimfungie kijana nyumbani na kumbana bana sana eti "sitaki ufanye ngono", "mara sitaki kukuona umesimama na msichana", huo ni ushamba kama vijana wanavyoita.

Sasa hutaki mwanao 'agonge' unataka 'akugonge' wewe baba yake au? 'Reasoning' za kipuuzi kabisa. Kwa nini msiwe wawazi kwa vijana wenu?

Huwa mnakuwa wajinga wajinga mpaka kijana aharibikiwe. 'Mind you', ukiendelea kumbana bana kipuuzi ni suala la muda wewe baba 'atakutomba' huyo kijana wako.

NB: maneno ndani ya funga semi ni ya kiingereza, au si rasmi. Samahanini mliokereka kwa lugha kali kwenye baadhi ya aya. Ni ushauri tu!.

Wasalaam!
 
Safi kabisa. Bado upo naye?!
Nipo naye.. na nitaendelea kuwa naye
Mkuu siku zote mzazi awezi kukuchagulia chaguo lisilo sahihi mtoto wake, hakuna mzazi anayependa mtoto wake ateseke.

Kaka yangu anajutia maana alikataa hayo mambo ila mpaka sasa ana hali mbaya an
 
Sasa mbona matusi
 
Kwa hio Mwanao kumgonga demu ambae hajamuoa ndani ya Nyumba ambayo wewe pia unamgonga mama yake ni sawa kabisa?
 
Nipo naye.. na nitaendelea kuwa naye
Mkuu siku zote mzazi awezi kukuchagulia chaguo lisilo sahihi mtoto wake, hakuna mzazi anayependa mtoto wake ateseke.

Kaka yangu anajutia maana alikataa hayo mambo ila mpaka sasa ana hali mbaya an
Safi. Si damu wala nyama vilivyokuongoza, bali ni Yeye Aliye Juu
 
Swali la kujiuliza kama mzazi kabla ya kumtafutia Mwanao mke/mume ni kuwa je unapenda mwanao awe na Mke/Mume kama wewe?

Pia kwa kuwa kila mtu ana standard za mwanamke anayehitaji kuwa naye binafsi naona sio vyema kwa mzazi kumchagulia mtoto mume/mke bali jukumu la mzazi ni kumpa mtoto uhuru wa kuchagua mke pamoja na kumpa njia zitakazo msaidia kupata mke/mume bora bila kusahau ukikosea kuchagua mwanandoa umeyakosea maisha.

Naamini kwamba lengo la utambulisho kabla ya ndoa ni kuwapa wazazi nafasi ya kumtambua na kumchunguza zaidi mpenzi uliyenaye kwa kuangalia kama atakufaa au hatokufaa.

Wazazi kuweni wawazi kuwapa watoto Elimu ya Mahusiano na Ndoa kabla ya kuingia katika Ndoa hii itasaidia katika kuchagua wenza Sahihi bila kukurupuka.

Asante.
 
Back
Top Bottom