Una hela wewe?

Umenipiga chabo shem eeeh[emoji12] nitakusemea mm ujue
Ha ha ha ha kuna ukwel enhee shem
Unasikia bebiiii Ile ya kwapan unajua enheee
Sijui kitu gan kimefanyaje huku unaangalia facial reaction
 
Fanya kureset halafu u renew penzi halafu uulize....[emoji125] [emoji125]
Hiv unajua naogopa kuachwa na huyu mpnz wangu? Unalijua hilo? Km yes naomba ufute ushauri wako[emoji38] [emoji38] [emoji85]
 
Hiv unajua naogopa kuachwa na huyu mpnz wangu? Unalijua hilo? Km yes naomba ufute ushauri wako[emoji38] [emoji38] [emoji85]
Shemeji usitaniwee..haya basi nimefuta. Mbona leo hamjanialika kilau cha sikukuu
 
Ha ha ha inaonekana ulimpenda wewe kabla ukawa unasubr aanze
Hahahahahaha bhana sijawah muona b4. Hivyo alivyo gentleman na maneno yake tu mie hoi siku hiyo hiyo ya kwanza duuuh
 
una hela wewe?
wewe na hela wapi ? waapi ? hii taarabu ilibamba sana kipindi hicho kumbe inaaply maisha ya kitaa siku hizi.wanawake wabaya!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…