Una hela wewe?

Una hela wewe?

Papa Mopao

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2009
Posts
4,157
Reaction score
2,663
Wangapi wameulizwa hivyo? Ni swali baya sana linadhalilisha sana utu, anayeuliza hivyo kwa namna moja ama nyingine ana kasoro kibao uwe na hela usiwe na hela.

Malipo ni hapa hapa duniani, jenga heshima kwa kila mtu usimdharau mtu eti hana hela, jamani!!!?
 
Haaaaahh haaaaahh.! Kama ni mwanamke na ulikuwa unatia vocal basi ili usiondoke na kitu inayokaba roho unamjibu "sina hela ila nimepima Ngoma"
 
Kwani hicho kipimo cha UNA HELA WEWE ni shillingi ngapi?? mbona mimi sijui wakuu
 
kuna msichana aliwah niambia@ i don't care how handsome you are,but what matter is money,do you have money?
 
Sijawahi, hata hivo women are the short lived creatures hata akiniambia hivo hatafika mbali.
 
Back
Top Bottom