Mr Beach Boy
JF-Expert Member
- Apr 15, 2021
- 1,702
- 5,115
Ni ujinga wa hali ya juu kama unaishi na Kulala sehemu nzuri hali ya kuwa wazazi wako waliokupambania mpaka kufika hapo wanalala kwenye dhiki.
Wanalala chini
Kwenye Godoro kama ulimi wa mbwa
Hakuna fan Wala asset nzuri za maana.
Kuwaweka wazazi wako kwenye mazingira mazuri haiitaji uwe na maisha mazuri au KAZI nzuri ni taratibu sana.
Kumbuka fahari ya mwanaume ni kupambana wazazi then mke na watoto
Nitukaneni TU hakuna shida