We una nini??nikupe kabinti changu unaweza hisi ni didy no
ni tangazo linafundisha ma binti zetu sikuhizi wawe makini kwenye kuchagua wa milele maisha ni
at least awe na hivyo hapo juu ni vyema kama binti na wewe ukapata kasomo wako ana nini>>
kama hana hata tembo card anzaaa!!!
umaskini uliokithiri nao mzigo nani anapenda akaolewe akalishwe misumari kila siku??? Ingawa pesa nayo inaisha ila mie nitaolewa na mtu mwenye chapaa,kama hakuna siolewi ng;oo!
umenikumbusha mbali juzi nilikuwa kwenye sherehe yaharusi moja wakati anaingia tukaombwa tusimmame wakapita wale wasimamizi wa harusi wanacheza kama ngoma ya kienyeji mara ikapigwa
"""wanawake wazuri wazuri wameolewa wanabaki mayunga yembe yanahangaikaa""""asiee ilinibidi nimsms bwana harusi kuna nini ndan ...yamekua haya ingawa alijibu mwishoni usiku wa manane akadai mkewe ndie ameomba upigwe hivyo duhh
mie siku bint yangu anaolewa shurti anioneshe tembo card master card. mambo ya kwenda kuwa tegemezi huko ndo ananyanyaswa kama kihongwe! kuna binti kaolewa majuzi hapa,eti kaacha kazi anataka kuwa mama wa nyumbani.nikimuona natamani kumrukia!
<br />umaskini uliokithiri nao mzigo nani anapenda akaolewe akalishwe misumari kila siku??? ingawa pesa nayo inaisha ila mie nitaolewa na mtu mwenye chapaa,kama hakuna siolewi ng;oo!
<br />umaskini uliokithiri nao mzigo nani anapenda akaolewe akalishwe misumari kila siku??? ingawa pesa nayo inaisha ila mie nitaolewa na mtu mwenye chapaa,kama hakuna siolewi ng;oo!
<br />
<br />
.....katika ulimwengu huu, wa sasa unategemea kununuliwa! Tehe! Jipange vizuri ndugu.