Mchekechoni
JF-Expert Member
- Apr 24, 2008
- 275
- 19
Yaani, nawashangaa sana baadhi ya members humu ndani, wanapitwa na mada muhimu sana, kisa wao ni kuhit button ya 'New Post' kila wanapolog kwenye JF. Acheni uvivu jamani, mjitahidi kuperuz na kudadisi mada mbalimbali sio kuishia kwenye headings tu, ok?