Eeeeeh hebu kwanza Kwani mwenye mume nani hapa mi sielewi.... Mtoa mada ni kimada au mwenye mume?Kama unayawezabona hudatishi kijana akuoe ?
MI NDO HAPO MNAPONICHOSHAGA!
yani umahiri wehu wa mahaba na kutokujisahau huwa kunafanya tu kazi kwa waliooa!
Wasiooa aaaanh!
NA MWANAUME ALOZAA NA WEWE ANA HASRA SANA!
sema nini, kitumbua ndo mambo yote !
ACHA ajilie kuku wa kienyeji baba wa watu!
Yeees huwa nashangaa kuona mwanamke anamuattack mwanamke mwenzie kisa mwanaumeHahahaha naweza wapi kutoa povu hivi kwanza nilivyo na aibu ikitokea nakausha tu mimi ugomvi wangu naamisha kwa mwanaume.
HahahahahahahahhaAlozaa au kumuona huyu Da Sophy ana kazi sana. Maana sio kwa hizi tantarira[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 1149903View attachment 1149904View attachment 1149905View attachment 1149906View attachment 1149907
Hahahahahahaha[emoji23][emoji119][emoji119][emoji119]Huo ndio unaitwa uchumi wa "kati"
We ng'ang'ana na cheti,
huyu mie namjua kitambo humu Jf KITAMBO HICHO!Eeeeeh hebu kwanza Kwani mwenye mume nani hapa mi sielewi.... Mtoa mada ni kimada au mwenye mume?
Alozaa au kumuona huyu Da Sophy ana kazi sana. Maana sio kwa hizi tantarira[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 1149903View attachment 1149904View attachment 1149905View attachment 1149906View attachment 1149907
😂😂😂😂Umenichekesha best badala adili na kidume aliye tongoza hivi atawatolea vijembe Wangapi ikiwa pengine mwanaume ni wale aina ya KISIMPITE.Yeees huwa nashangaa kuona mwanamke anamuattack mwanamke mwenzie kisa mwanaume
Wanaume hawa hawa watu mtoane meno kwa ajili yao!? [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Ninachoweza mimi ni kusema na huyo mwanaume tu sio mwanamke mwenzangu haitokei.... Kuna rafiki yangu huko whatsapp yupo hivi kila siku vijembe kwa mwanamke mwenzie na wote hawajaolewa.... Namlia timing nimlime block ya nguvu
Sophy nikajua nyumba kubwa ilishapewa talaka. Kumbe bado unaionea wivu. Na yeye kama anapewa joto na mwanaume mwingine hapo vipi?Kama cheti mali kitandike kitandani kwako ukilalie. Au jaribu kujifunika nacho kikutie joto. Nachekajeeee? Halooooooooo?
Na wanangu wana haki zote kwa baba yao.
Nakukumbusha tu.
Hakika! Hamna haja ya kuhangaika naye.We awakiazaga kelele hivi wanakuwa wanataka kukupandisha hasira tu mfananae miserable life!
MTU WA NGEBE HIVI dawa yae ndogo!
KUENDELEA NA HAMSINI ZAKO!
Umeona tokea enzi hizo,nikajua labda nyumba ndogo ilishapewa talaka na Sophy kuwa mother house. Kumbe bado ni mchepuko.ILA DA SOPHY toka ulivyoanza Enzi hizo!
huyo mwenye mume nae mwanamke!
Mwanamke hasa!
Aseee nimeenda kumfyukunyua huko doooooh huyu mtu ni mshari mnooo.... Ana kazi haswa but Nampa pole hata huyo mwanaume aliyejitoa mhangahuyu mie namjua kitambo humu Jf KITAMBO HICHO!
sio wa leo ati!
TOKA ENZI HIZO UPO HUYU!
na habadiliki miaka nenda rudi!
SASA KAMA ANAJIAMINI MUME ANAYE, MBONA HAKAI AKATULIA KILA SIKU JF!
UJINGA TU!
Hahaaa. Baba chanja yupo mbona kajaa tele na hata ikitokea ana mtu hawezi kuja andika humu.Umemfanyia ukaguzi mumeo lakini -- usije kukuta amekuaga kuwa amesafiri kumbe yupo kwa mtoa mada ... na hili dongo waweza kukuta linakuhusu wewe ila tu haujui
Hapo sasa jamani mie rafiki shankupe simuwezi uuuwiiii mtu gani kila mara kiboro changu sijui kwako hakiji mara kilipanda kikashuka ujinga ujinga tu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Umenichekesha best badala adili na kidume aliye tongoza hivi atawatolea vijembe Wangapi ikiwa pengine mwanaume ni wale aina ya KISIMPITE.
Wanawake kwa Sasa tunapambana kufanya maendeleo yeye anapambana kulinda sehemu za siri za mtu.Hapo sasa jamani mie rafiki shankupe simuwezi uuuwiiii mtu gani kila mara kiboro changu sijui kwako hakiji mara kilipanda kikashuka ujinga ujinga tu