Samia atosha tukutane2030
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 17,653
- 49,646
kwahiyo unasemaje?
Haya madeni ni himilivu.
Tanzania tuna hali nzuri ya kiuchumi. Mshahara unalipwa kwa wakati, posho zinalipwa kwa wakati, miradi inaendelea , serikali inajiendesha vizuri.
Hizo Dua zenu zitafeli