Otorong'ong'o
Platinum Member
- Aug 17, 2011
- 39,117
- 28,574
Israel haiwezi kukaa meza moja na magaidi!!
Naona unaendeshwa na hisia zaidi ya kufikiri kwa kutumia bongo...
Israel haiwezi kukaa meza moja na magaidi!!
Israel haiwezi kukaa meza moja na magaidi!!
Magaidi wa Tanzania ni wapi hao?
dogo wacha ujinga, Israel na US siku zote wanasema hawaitambui HAMAS lakini last week wamefanya peace na nani ili wasirushiwe rocket.Israel haiwezi kukaa meza moja na magaidi!!
Kwani Palestina ni nchi au mkoa??!
Aisay kuna siri kubwa hapo :A S thumbs_up:Kinadharia, hata Marekani imeunga mkono kwa sababu ilikuwa na uwezo wa "ku-veto"
Kiongozi sijui sana ndio maana nauliza kama ni nchi au mkoa??!Mkuu inaonekana historia ya mashariki ya kati unapishana nayo.
Nimemjibu tu huyo ndugu mwenye uwezo mdogo wa kufikiri, Maana ana maana kwamba Palestina ni Waislam na kwa mtazamo wake All Muslims are terrorists, ndio nika muuliza yeye Mbona anaishi nao nchi moja kwa nini awakataze wenzeka kuwatambua?
Kinadharia, hata Marekani imeunga mkono kwa sababu ilikuwa na uwezo wa "ku-veto"
Kiongozi sijui sana ndio maana nauliza kama ni nchi au mkoa??!
Hisia ndiyo fikra kama ulikuwa haujui,huu ni wakati sahihi wa kujua jambo hili!!Naona unaendeshwa na hisia zaidi ya kufikiri kwa kutumia bongo...
Nashukuru kwa kulitambua hili!!Tukutuku kumbe we ni mtambo kiasi hiko?
Precisely mkuu,nakubaliana na wewe!!Hapo kwenye nyekundu, upende usipende jibu ni ndiyo. It is just a matter of time and location.
Usilinganishe watu wanajitoa mhanga na wamalawi,"you are trying to undermine malawians"na nyinyi sasa hivi mtawaita Malawi magaidi!
Israel, United States of America, Canada, Czech Republic, Panama, Marshall Islands, Micronesia, Nauru and Palau :A S thumbs_down:Hukumalizia 138 NDIYO, 9 HAPANA na 41 ABSTAINING (ZILISUSIA KURA)
1. Just for CURIOSITY mwenye INFO Je, ni nchi GANI zilizopiga kura ya HAPANA?
2. Je URT ilipiga KURA yake wapi katika makundi hayo matatu?
Precisely mkuu,nakubaliana na wewe!!
......
1. Just for CURIOSITY mwenye INFO Je, ni nchi GANI zilizopiga kura ya HAPANA?
.............
Sikubalini na wewe mkuu,hawa magaidi tunaowaongelea wanatofautiana na jinsi yesu alivyouawa kwa ajili ya kuwakomboa binadamu.Hawa magaidi wanalazimisha kuuwa na watu wengine (wasiokuwa na hatia) kwa faida zao na vikundi vyao!kwa mfano gaidi aliyejitoa mhanga kwenye ubalozi wa marekani mwaka 1998 alikufa yeye mwenye na watu wengine tena wasiokuwa na hatia hata kidogo!!Terrorist are good people...they die for their people like jesus or samson did long time ago.