umeona enh? Eti ni mama unatoka sasa 11 na kurudi saa 5 usiku. Kila mwez unasafiri 2 or 3 wks. H gel wako anaijua nyumba yako kuliko wewe mwenyewe. Wanao hadi wanamwita dada mama kisa huonekani wala hawakumbuki mara ya mwisho walikuona lini.
Hela unapata mamilion ila wanao hawaifaidi hata kidogo na ukiwato mara moja kwa wiki unaona uko juu unaweza kuwalea, hukumbuki hata mara ya mwisho kumwogesha mwanao wala siku ulompikia uji, huji mumeo ulimpigia pasi lini, hadi wamalawi umeajiri ili kukusaidia kazi. Yote haya yanakua ubatili tu kwani watoto hawajui upendo wa mama. Wanabakwa na kulawitiwa hadi wanakubuhu wewe ndo unagundua. Binti hadi anakuwa ndo msemaji wa familia kisa uko bize lol!
Am proud kuwa mwl, wanangu kila asubuhi wanakunywa uji nlopika mimi, na miradi nasimamia na outing napata na kazi nafanya kwa ufanisi tena hadi na tuzo za mfanyakazi bora napata halafu useme niache ualimu?
Ualimu safiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii!