Umuhimu wa wosia

ukiona mkeo na watoto wanataka kukuwahisha basi hiyo familia haina upendo. na wewe na uhusiano wako na familia yako si mzuri.

Bibi,uzoefu unaonyesha kwamba ndoa nyingi baada ya miaka kupita na watoto wakawa wakubwa upendo huwa unawekwa pembeni yanabakia mazoea na kutimiza wajibu.Halikadhalika kama ndoa ina watoto wengi huwa yanazuka makundi la baba na la mama,na hata wazazi wakigombana utaona watoto wana take sides kulingana na affiliation yao.Ndoa na siasa hakuna tofauti usanii mwingi.
 
Sipati picha mwanamke awe na watoto wa kike afu mume afe aandike urith kwa mtoto/watoto wake wa kiume wa nje. Kwa kweli ni dhambi kumnyanyapaa mtoto wa nje; lakini haya mambo ya mali ndiyo yanayofanya wamama wengi kuchukia watoto wa nje. Tuna family friend wetu ana mabinti tu; mumewe ana mtoto mmoja wa nje tena wa kiume; yule mama ni muongeaji huwa anamchana mume wake live kuwa asitegemee mwanae huyo wa nje ataambulia kitu kwani mali wanazisaka wote kwa hiyo jasho lake haliliwi na mtu. Good thing ni kuwa huyo mtoto yuko kwa mama yake. Kwa hiyo kama huyo mama yake ana akili amjengee maisha mwanae mapema ikiwezekana hata kwa kumbana huyo mwanaume.

NyumbaKubwa,huyo mama naye aache za kuleta,hivi alomwambia baba atatangulia kufa wanae na yeye wangali hai nani?
 
Kila mtu ajitafutie mali zake , ndo mana wenzetu urithi wanaachie mtu yeyote, mtoto akue akijua anatakiwa kufanya juhudi ya maisha afanikiwe, mzazi jukumu lake ni kumwandalia maisha kwa kumsomesha, akifika 18 and above anaanza ya kwake, sasa tatizo huwa tunatolea sana macho mali za familia, wengine wanadiriki hata kuwaua wazazi ili warithi mali, mrithishe ila usimwambie kahifadhi huko bank, ili awe na nguvu ya kutafuta, nakumbuka baba alikuwa anatwambia, mali zangu ni kwa ajili yangu na mke wangu, kama hamsomi mtajijua mkishakua
 
Tatizo tunaloongelea hapa ni baba kufa wakati watoto ni wadogo. Lazima wife atapenda mali kama majumba nakadhalika vitumike kuwaendeleza watoto wa ndani ya familia. Tatizo linakuja baba ana watoto wengine kadhaa nje. Sasa kimbembe ni nani yuko tayari kugawana mali na mtoto wa nje?? Umemsoma hapo Bishanga?

Of course hamna mtu mzima mwenye akili anayetegemea mali za kurithi; mara nyingi wa hivyo ni wale waliochezea maisha.

NyumbaKubwa umenisoma vizuri.Watoto kama wanajitegemea wakati mzazi anafariki wala haina mjadala they should fend for themselves,tatizo mzazi anafariki when kids are still dependant,mzazi anaacha vitoto vya umri wa miaka minane,tisa,kumi,just imagine,na vinaambiwa haram nyie.
 
Nina mama yangu mdogo alikuwa nyumba ndogo ya kibosile fulani miaka ya 80s; Huyo baba alikuwa na pesa sana nakumbuka alikuwa anakuja na mama mdogo home na magari ya kifahari wakati those days magari mengi yalikuwa peugeot yeye alikuwa na gari tofauti tofauti sijuhi alikuwa anafanya kazi wapi maana nilikuwa mdogo sana. Alimpangishia nyumba sharif shamba.

Sijuhi kilichotokea baada ya muda wakaachana-as usual nyumba ndogo ni nyumba ndogo wengi hupigwa chini sooner or later

Kibaya sasa walikuwa wamezaa mtoto wa kiume; mama mdogo akahamia mwanza; kule akaolewa. Baadaye alifariki. Sasa mtoto ikabidi aende kijijini kwa wajomba zake. Alikuja hapa Dar baada ya kusikia baba yake yuko hoi amepooza. Unaambiwa ndugu zake walimtoa dima wakasema si ndugu yao wakati sura ni anafanana na baba yao kuliko wao. Yule baba alikufa; kijana maisha yake hana mbele wala nyuma maana wajomba zake waliweza msomesha mpaka form four tu kijijini.

Sasa nadhani yule mdingi hakuwahi kuwaambia familia yake kuwa ana mtoto though madada zake walikuwa wanamjua (mashangazi).

Watoto wa nje wasitegemee sana kwa baba zao; ni wamama wawajengee maisha.
 
unaona sasa! kinachokera ni kuwa small house yenyewe iulize leo ngwasuma wako wapi, anajua ratiba yote ya starehe za mjini. mama watoto anajua mafundi wote wa site. sasa small house haijibidiishi na mwanae, hata afaulu basi ili akadai ada kwa mzazi! yeye ni kuchuna tu,wengine wanachuna hadi za mke wa ndoa.ikifika kwenye urithi ndo kubanana! mwanamke akili bana,kama unaweza kumganda mume wa mtu hadi ukazaa nae,mgande huko huko mjenge na msomeshe hao watoto!
Nina mama yangu mdogo alikuwa nyumba ndogo ya kibosile fulani miaka ya 80s; Huyo baba alikuwa na pesa sana nakumbuka alikuwa anakuja na mama mdogo home na magari ya kifahari wakati those days magari mengi yalikuwa peugeot yeye alikuwa na gari tofauti tofauti sijuhi alikuwa anafanya kazi wapi maana nilikuwa mdogo sana. Alimpangishia nyumba sharif shamba.

Sijuhi kilichotokea baada ya muda wakaachana-as usual nyumba ndogo ni nyumba ndogo wengi hupigwa chini sooner or later

Kibaya sasa walikuwa wamezaa mtoto wa kiume; mama mdogo akahamia mwanza; kule akaolewa. Baadaye alifariki. Sasa mtoto ikabidi aende kijijini kwa wajomba zake. Alikuja hapa Dar baada ya kusikia baba yake yuko hoi amepooza. Unaambiwa ndugu zake walimtoa dima wakasema si ndugu yao wakati sura ni anafanana na baba yao kuliko wao. Yule baba alikufa; kijana maisha yake hana mbele wala nyuma maana wajomba zake waliweza msomesha mpaka form four tu kijijini.

Sasa nadhani yule mdingi hakuwahi kuwaambia familia yake kuwa ana mtoto though madada zake walikuwa wanamjua (mashangazi).

Watoto wa nje wasitegemee sana kwa baba zao; ni wamama wawajengee maisha.
 
Sie tupo watoto watano kiume mbili kike 3 nyumba ndogo wapo wakike wawili mzee Wangu alimrithisha nyumba ndogo yake kila kitu mashamba Moshi na nyumba mbezi beach. Yaani tulikuwa hatuna thamani kabisa kwake. Inauma nusra ningepata murder case
 
Wanawake huwa tunajisahau sana, tunahisi kama maisha haya tunayoishi sasa hivi yatadumu milele,kumbe huwa kuna mabadiliko dunia inakugeukia juu chini unaanza kuhaha na njia yaani mwanaume anafariki mwezi huu mwezi ujao tayari watoto wako barabarani wanauza mayai ya kuchemsha sijui kwa nn, mie nasema bora wanawake wa kisasa kwa sasa hivi mtu una kazi yako umesoma vitu vidogovidogo havitakusumbua labda uwe mbishi ku maintain lifestyle ya wakati ule
 
Kuna kijana mmoja aliandikwa mrithi wa nyumba pale sinza, na baba yake alipofariki akaamua kumfukuza mama yake eti aende kijijini anataka nyumba yake auze, hamuwezi amini, mie pia naona watoto hata wakiandikishwa kitu wazazi waandike mpak a wote wafariki ndio warithi mali, sababu wengine huwa haziwatoshi kabisa

swadakta Shantel,hapo umenena.
 
Nina mama yangu mdogo alikuwa nyumba ndogo ya kibosile fulani miaka ya 80s; Huyo baba alikuwa na pesa sana nakumbuka alikuwa anakuja na mama mdogo home na magari ya kifahari wakati those days magari mengi yalikuwa peugeot yeye alikuwa na gari tofauti tofauti sijuhi alikuwa anafanya kazi wapi maana nilikuwa mdogo sana. Alimpangishia nyumba sharif shamba.

Sijuhi kilichotokea baada ya muda wakaachana-as usual nyumba ndogo ni nyumba ndogo wengi hupigwa chini sooner or later

Kibaya sasa walikuwa wamezaa mtoto wa kiume; mama mdogo akahamia mwanza; kule akaolewa. Baadaye alifariki. Sasa mtoto ikabidi aende kijijini kwa wajomba zake. Alikuja hapa Dar baada ya kusikia baba yake yuko hoi amepooza. Unaambiwa ndugu zake walimtoa dima wakasema si ndugu yao wakati sura ni anafanana na baba yao kuliko wao. Yule baba alikufa; kijana maisha yake hana mbele wala nyuma maana wajomba zake waliweza msomesha mpaka form four tu kijijini.

Sasa nadhani yule mdingi hakuwahi kuwaambia familia yake kuwa ana mtoto though madada zake walikuwa wanamjua (mashangazi).

Watoto wa nje wasitegemee sana kwa baba zao; ni wamama wawajengee maisha.

hao mashangazi nao wanafiki,ole wake atakayewatenga watoto wangu!
 
Sie tupo watoto watano kiume mbili kike 3 nyumba ndogo wapo wakike wawili mzee Wangu alimrithisha nyumba ndogo yake kila kitu mashamba Moshi na nyumba mbezi beach. Yaani tulikuwa hatuna thamani kabisa kwake. Inauma nusra ningepata murder case
pole sana Mlabondo,mzee kweli hapo alichemsha big time,msamehe bure lakini.
 
Kweli hili ni jambo la muhimu sana sana
Sio siri hapa nilipo nishaandika Will yangu nasubiri tuu Executor wangu aipitie aisome aone kama iko sawa niisign
Sijasubiri na wala suala la kuchuria kufa ila naangalia mbele kwa watoto wangu na kwa mke wangu na kwangu mimi pia
Ni suala la muhimu sana maana mwenye uamuzi wa mwisho wa mali yake iende kwa nani au kw awakati gani igawanywe ni yule mwenye mali
Kwa hiyo wandugu nawashauri msisite kuandika Will ni kitu muhimu sana
Hata kama mwenye mali akiamua kutoa mali zake zote kwa Msikiti au Kanisa ni uamuzi wake
 
Wanawake huwa tunajisahau sana, tunahisi kama maisha haya tunayoishi sasa hivi yatadumu milele,kumbe huwa kuna mabadiliko dunia inakugeukia juu chini unaanza kuhaha na njia yaani mwanaume anafariki mwezi huu mwezi ujao tayari watoto wako barabarani wanauza mayai ya kuchemsha sijui kwa nn, mie nasema bora wanawake wa kisasa kwa sasa hivi mtu una kazi yako umesoma vitu vidogovidogo havitakusumbua labda uwe mbishi ku maintain lifestyle ya wakati ule

kwenye red hapo,tatizo huwa ni mashoga kwamba 'watanionaje',unang'ang'ania rav4 wakati hela ya mafuta huna,unataka blackberry torch zikitoka na wewe uwe nayo ,saloon ya bei mbaya,nguo ndo usisema etc,mwisho wake kama bado unalipa unaweza kuishia mikononi mwa kibosile mwingine bila hata kuchunguza kama afya yake mgogoro au la.
 
Kweli hili ni jambo la muhimu sana sana
Sio siri hapa nilipo nishaandika Will yangu nasubiri tuu Executor wangu aipitie aisome aone kama iko sawa niisign
Sijasubiri na wala suala la kuchuria kufa ila naangalia mbele kwa watoto wangu na kwa mke wangu na kwangu mimi pia
Ni suala la muhimu sana maana mwenye uamuzi wa mwisho wa mali yake iende kwa nani au kw awakati gani igawanywe ni yule mwenye mali
Kwa hiyo wandugu nawashauri msisite kuandika Will ni kitu muhimu sana
Hata kama mwenye mali akiamua kutoa mali zake zote kwa Msikiti au Kanisa ni uamuzi wake

sijui nani kachoropoa kibaton cha 'like'!
 
Kipo bana wala hakuna aliyekitoa
Mkuu kwenye suala la wosia ni la muhimu sana na hii kitu ingekuwa inatakiwa kuhubiriwa misikitini na makanisani kuwa please please kwa kila mwyenye familia yake afanye hivyo
Siku hizi mambo ni mengi na magonjwa ni mengi ambayo hata hayaonekani kwa nje
Mtu unaondoka nyumbani kwako asubuhi unafika ofsini unaanguka chini unaondoka hakuna lolote ulilolisema kwa familia yako
hawajui una nini wala umeacha nini na madeni gani unadaiwa au unadai
Unaondoka ndo watu wanaibuka wanaokudai na wasiohusika watakuja kwa madai kuwa wanakudai
Ndugu nao ukishaondoka ndio wa kwanza kwenda kutafuta suti zako na viatu vyako vizuri kule master wakati mkeo na watoto wanaugulia wao wanajipangia nani achukue nini na nani avae nini
na kadi za benki zinawekwa mfukoni na hati za nyumba na mashamba wanaficha ili mjane wa marehemu asipate kitu akishatoka msibani
hawajali kuwa ndugu yao alipambana kuvipata
Wakwe nao wapo kuhakikisha kuwa mjane aliyebaki anabaki mikoono mitupu

So ndugu zangu will ni ya muhimu hata kama jhuna mali nyingi ila kile ulichonacho muda wote kiweke kwenye maandishi kuwa nani anakisimamia kwa wakati baada ya wewe kuondoka na una miradi gani nje huko hata kama hutaki mke wako ajue ila wakili wako awe na taarifa zako kuwa una miradi gani na madeni uliyo nayo na nani anakudai na nani unayemdai
 
Will n ki2 muhim sna sema w2 hawajui 2 na istoshe unaweza ukabadilisha will mara kwa mara ktokana n unavyoona jins ungali hai na pia n bei nafuu kuihifadhi mahakama kuu n inakua safe most of the time!so w2 wasiogope wkahisi ukishaandika will huwez kubadilidha hapana inabadilidhika 2
 
Kwa sheria ilivyo sasa watoto wa nje wanapoteza haki ya kurithi hasa kama baba hakuwatambulisha/ama kuwaweka wazi kuwa ni wanawe....na kwa kusema ukweli mimi naona hii ni fair tu. Kama una mtoto wa nje ni vema ukamchukuwa na kukaa nae/au kuhakikisha anatambulika formally kuwa ni mwanao/mtegemezi wako.

Kutegemea na dini ya muhusika, wosia peke yake unaweza usiwe na nguvu.....kama kuna vitu unataka 'kumrithisha' mtu ambaye kisheria hana haki ya kukurithi ni vema ukamgawia sehemu yake akaanza kuimiliki kabla wewe hujafa.

what i know any will which having all the elements of validity is acceptable under the law and no one is above the law otherwise that will is contradicted with the mother law (constitution) ; will kama will inakuwa inaworkout pale mtu anapokufa kama hajafa bado inakuwa not valid , pia inatakiwa iwe kwenye maandish and not orally japokuwa kuna exceptinoal ,mashaidi lazima wawepo, msimamizi wa mirathi lazima atajwe , signature ya mwandika will, tarehee na majina ya wahusika wote na vile vile watu wana haki ya kuandika will kwa mtu yoyote kutokana na sababu binafsi za mwandika will but mahakama ina jinsi ya kuliangalia hili ni kitu kizuri na ni vizuri zaidi ukaomba ushauri au ukatumia wanasheria pindi unapoamua kuandika hiyo will
 
Back
Top Bottom