Umuhimu wa Software terms of services

Umuhimu wa Software terms of services

Boflo

JF-Expert Member
Joined
Jan 20, 2010
Posts
4,383
Reaction score
4,413
Hivi mnasomaga hizi??? Mnaona jamaa walivyokosa mapesa!!
soma chini hapo

A software company buried a $1,000 prize deep in its Terms of Service to see if anyone actually read them. After 5 months and over 3,000 sales, only one asked about the prize.
 
Hayo huwa hatusomagi mkuu tunarukiaga tu kwenye I Accept au I have read and accept that.....hata kama humo ndani umeambiwa utakuwa mke wa ndoa ya jinsia moja au kwamba software hii ni kwa ajili ya watu waliokuwa ma(gay) wazee wanakurupuka tu I Accept, hahaha
 
hahaha. Watakuwa nn?
 
Huwa naangalia ikiwa kama software ni compactibe, huusani na simu. Haraka iwezekanavyo, nakwenda kwente DOWNLOAD. Kuna maelezo mengine yanazidi kurasa moja, unadhani nitasoma yote.
 
Huwa naangalia ikiwa kama software ni compactibe, huusani na simu. Haraka iwezekanavyo, nakwenda kwente DOWNLOAD. Kuna maelezo mengine yanazidi kurasa moja, unadhani nitasoma yote.
Mko wengi
 
binafsi huwa sisomi unless otherwise software iwe mpya kabisa ktika upeo wangu
 
Hivi mnasomaga hizi??? Mnaona jamaa walivyokosa mapesa!!
soma chini hapo

Kwa vile huwa tunajua makampuni yanayotengeneza bidhaa husika hayapo nchini na hatuwezi kufidiwa basi tunaona hakuna uhaja wa kujisomea masharti ya mikataba lakini twapaswa kusoma.
 
Back
Top Bottom